Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto

Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Si umeshasema hauko tayari kwa Ndoa Dadangu?

Sasa haya maswali kama Jamaa anamaanisha kukuoa unatuuliza ya nini? Au unataka kubadili msimamo wako?
 
Si umeshasema hauko tayari kwa Ndoa Dadangu?

Sasa haya maswali kama Jamaa anamaanisha kukuoa unatuuliza ya nini? Au unataka kubadili msimamo wako?
Naweza kukubali uamuzi ukawa sio sahihi na naweza kukataa.uamuzi ukawa si sahihi ndo maana nimekuja Jf
 
Back
Top Bottom