Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto

Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Binti wa kike una vibweka.Umri wako ni miongo mingapi?
 
Fanya unalolisikia moyoni mwako na siyo kwa kutaka kumuhurumia kama anavyotaka yeye,huku ukijua kuwa furaha ndoa itakuwa yako na machungu ya ndoa ni yako mwenyewe na ikishafungwa ni pingu isiyofunguka.

Mwenye kusuka ama kunyoa ni we we mwenyewe,na inavyo onekana hauko tayari kulea mtoto ambaye siyo wako kitu ambacho alitakiwa kukupa taarifa mape kuwa ana mtoto na anataka akuoe ili uamue we we kama ukaolewe hivyohivyo.

Ushari wangu kwako mwambie kuwa kwa kuwa we we unamtoto wa nje ya ndoa na Mimi ninaomba unisubiri kwanza nitafute mtoto wa nje ya ndoa nikipata mtoto wa nje ya ndoa ndio tuoane,we we uje na mtoto wako wa nje ya ndoa na Mimi nije na mtoto wangu wa nje ndoa hapo tutakuwa sawa.
Hio swala la mtoto tulizumgumza na alisema mtoto amekaa sana kwa bibi yake sio rahisi amtoe pale
 
Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto

Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Hongera sana Ndugu binti wa kike. Hapo umepata mtu anayekupenda. Mkubalie awe mumeo. Huyo jamaa yuko serious. Kuhusu mtoto ni kawaida sana kwa mwanaume. Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 ila nina mdogo wangu wa damu mwenye miaka miwili na nusu.
 
Asante kwa pongezi
 
Back
Top Bottom