Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Mueleze Ke wako ukweli wote kuwa una masturbation psychopath disorders ili alipokee jinsi lilivyo na kukusaidia inavyopasa.

Mi nina tuzo ya punyeto nilikuwa napigaga × 6 per day na ni mara 2 hadi 3 kwa siku.

Nilikaaga uchumba na Ke wangu wa ndoa kwa mwaka mmoja kiurafiki tu kabla sijaoa.

Nilipooa nilikutwa na changamoto hiyo hiyo lakini Ke wangu alikuwa muelewa kwa kunijengea akili kujiamini kuwa niko vizuri tu wala nisiogope wala kukamia mechi, nitulize akili na hana wasiwasi na mimi kabisa maana anaelewa kwa mara nyingine nitakuwa vizuri sana kuliko nilivyochemka awali.

Siku ya pili nilihakikisha kafika kileleni mara 6 nami nilienda raundi 4, baada ya hapo ni kujiamini na sijawahi kuchemka kamwe!

Mwaka wa 5 huu nadunda naye tu kama kawa na wala sihangaiki na Michepuko.
 
Hiyo mimi napiga ASUBUHI tu bado mchana bado USIKU kwa siku jumla sio chini ya mara 15 bado usiku wa Giza NIKIENDA KULALA NAKUWA PEKEYANGU huko napiga hata mara 20 NAKUWA na uhuru wote .ASUBUHI naamka usingizinkama wote
 
Ndugu zangu wanajamvi habarini.

Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Pole mkuu ila utapona chap chukua tangawiz mbich na vtunguu saumu visage vzr chukua na asali mbichi pima kama mchanganyiko wa tangawz na vtunguu itakuwa n vjiko 20 bas asali iwe mara 2 yake alaf tumia vjko 3 asbh mchana kama unamuda na jioni ndn ya wik 2 lete majbu kama ulivyoleta tatzo lako nna uhakika 100% nmeshawapa weng na wanapona

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu, nitarudisha mrejesho
 
Back
Top Bottom