Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nitakupatia namba ya jamaa msabato umpigie ueleze tatizo lako atakutibu ndani ya wiki 3 utarudisha mrejesho humuNipo morogoro mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupatia namba ya jamaa msabato umpigie ueleze tatizo lako atakutibu ndani ya wiki 3 utarudisha mrejesho humuNipo morogoro mkuu
Asante sana kwa ushauri huu, japo kuwa kwakweli hanielewi nitajitahidi kumweleza zaidiMueleze Ke wako ukweli wote kuwa una masturbation psychopath disorders ili alipokee jinsi lilivyo na kukusaidia inavyopasa.
Mi nina tuzo ya punyeto nilikuwa napigaga × 6 per day na ni mara 2 hadi 3 kwa siku.
Nilikaaga uchumba na Ke wangu wa ndoa kwa mwaka mmoja kiurafiki tu kabla sijaoa.
Nilipooa nilikutwa na changamoto hiyo hiyo lakini Ke wangu alikuwa muelewa kwa kunijengea akili kujiamini kuwa niko vizuri tu wala nisiogope wala kukamia mechi, nitulize akili na hana wasiwasi na mimi kabisa maana anaelewa kwa mara nyingine nitakuwa vizuri sana kuliko nilivyochemka awali.
Siku ya pili nilihakikisha kafika kileleni mara 6 nami nilienda raundi 4, baada ya hapo ni kujiamini na sijawahi kuchemka kamwe!
Mwaka wa 5 huu nadunda naye tu kama kawa na wala sihangaiki na Michepuko.
Pole Sana mkuu.....jaribu pia kutembelea wataaalam wa afya wakushauri pia hata milo sahihi kulingana na tatizo lako,tiba za asili n.kNdugu zangu wanajamvi habarini.
Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Fanya mazoezi huna tatizo mkuuNipo morogoro mkuu
Tatizo liliisha au lipo anakuvumilia?Mueleze Ke wako ukweli wote kuwa una masturbation psychopath disorders ili alipokee jinsi lilivyo na kukusaidia inavyopasa.
Mi nina tuzo ya punyeto nilikuwa napigaga × 6 per day na ni mara 2 hadi 3 kwa siku.
Nilikaaga uchumba na Ke wangu wa ndoa kwa mwaka mmoja kiurafiki tu kabla sijaoa.
Nilipooa nilikutwa na changamoto hiyo hiyo lakini Ke wangu alikuwa muelewa kwa kunijengea akili kujiamini kuwa niko vizuri tu wala nisiogope wala kukamia mechi, nitulize akili na hana wasiwasi na mimi kabisa maana anaelewa kwa mara nyingine nitakuwa vizuri sana kuliko nilivyochemka awali.
Siku ya pili nilihakikisha kafika kileleni mara 6 nami nilienda raundi 4, baada ya hapo ni kujiamini na sijawahi kuchemka kamwe!
Mwaka wa 5 huu nadunda naye tu kama kawa na wala sihangaiki na Michepuko.
Ni kweli huwa nakuwa kama na woga fulani kabla ya tendo, na pia mke wangu sio mtu anayeshughulika, nisiposhughulika mimi yeye haangaiki, kama ukipata namba ya babu huyo plzNitatizo lakisaikolojia .
Kama upo serious nenda kwa mtaalamu wa akili kwanza unashida kuhusu masuala ya mapenzi na unauoga fulani so unakuwa hujiamini.
So ukiwa unaenda kwa mtaalamu atakusaidia.
Kingine kuna mtu anajua kukupa dawa za miti shamba ukawa fresh ila sasa sina namba yake tena .
Alirudi kwao singida huyo mzee ndio kiboko .
Alimsaidia ndugu yangu .
Kingine punguza stress acha mazoea ya kutojiamini nakula vitu vizuri.
Vya nguvu uone mkeo pia akishughulikie if anakupenda
Sahihi mkuu , wadau weng huwa wanakurupuka kuhukumu kabla ya kujua kiini cha tatzoMsihukumu kwa haraka vyanzo vya tatizo ni vingi mno
Hivi utafiti wa puchu kuwa unaua nguvu za kiume ulifanywa na chuo gani au tunaimba pambio ambayo hatumjui mwanzilishi?Sahihi mkuu , wadau weng huwa wanakurupuka kuhukumu kabla ya kujua kiini cha tatzo
Kwa hiyo tatizo limeanza lini mkuu?Ndugu zangu wanajamvi habarini.
Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
NaongezeaKunywa jembe energy.
Supu ya pweza .
Karanga.
Vikishindwa nitakutajia Viagra za kitaalam
Uliwahi kulazimishwa penzi na mtu mzima ila niwakike muwe mnafanya naye tendo bila ridhaa yako au mkeo unamuogopa kiuhalisia ?????Ni kweli huwa nakuwa kama na woga fulani kabla ya tendo, na pia mke wangu sio mtu anayeshughulika, nisiposhughulika mimi yeye haangaiki, kama ukipata namba ya babu huyo plz
Fanya mazoezi huna tatizo
Asante mkuuNaongezea
Nazi mbata iliyokauka
Muhogo mtamu
Karanga ndogo laini zenye maji maji
Tende kavu
Maziwa fresh glass 1×3 usiku kabla ya kulala meza na tembe 2 za kitunguu saumu
Juice ya karoti na nanasi glass 1×3 siku 7
Nyama nyama za kutosha kilo 2 kwa siku
Ugali au Wali kisoda ¼
Supu yenye pilipili kichaa za kutosha bakuri kubwa kila asubuhi usisagau kuweka ndimu au limau
Asali ya nyuki wadogo vijiko 2×3 siku 21
Juice ya matango ya kienyeji glass 2×3 siku 21
Juice ya vitunguu maji glass 1×2 siku 14
Juice ya cabbage glass 1×2 siku 7
Mbegu za Maboga tafuna au unga wake pika uji kunywa
Mbegu za Tikiti maji saga changanya na asali na kitunguu saumu lamba vijiko 2×3 siku 21
Km nimesahau ongezea
Nenda kwa daktari umuone watakusaidia...usinywe midawa ya mtaani Wengi wanafanya biashara wapate pesa.Nimejitahidi kufanya mazoezi ya kukimbia bila mafànikio
Asante mkuu
Ndugu zangu wanajamvi habarini.
Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu