Naongezea
Nazi mbata iliyokauka
Muhogo mtamu
Karanga ndogo laini zenye maji maji
Tende kavu
Maziwa fresh glass 1×3 usiku kabla ya kulala meza na tembe 2 za kitunguu saumu
Juice ya karoti na nanasi glass 1×3 siku 7
Nyama nyama za kutosha kilo 2 kwa siku
Ugali au Wali kisoda ¼
Supu yenye pilipili kichaa za kutosha bakuri kubwa kila asubuhi usisagau kuweka ndimu au limau
Asali ya nyuki wadogo vijiko 2×3 siku 21
Juice ya matango ya kienyeji glass 2×3 siku 21
Juice ya vitunguu maji glass 1×2 siku 14
Juice ya cabbage glass 1×2 siku 7
Mbegu za Maboga tafuna au unga wake pika uji kunywa
Mbegu za Tikiti maji saga changanya na asali na kitunguu saumu lamba vijiko 2×3 siku 21
Km nimesahau ongezea
Mtu aliyebakwa anahitaji
kusaidiwa kihisia ili aweze
kusahau mawazo na jambo
liliomtokea. Kwa mwathirika, ni
muhimu apewe ushauri nasaha
ili aendelee kujihisi kwamba yeye bado yupo kama mtu wa
kawaida. Ni muhimu pia kuzishughulikia habari za mwathiriwa
kwa siri. Usimweleze kila mtu kilichotokea. Waeleze wale tu
ambao unafikiri wanaweza kusaidia kama daktari, mwalimu au
mzazi. Usiulize maswali ya kwa nini maana inaweza ikaonekana
ni kosa la mwathiriwa. Badala yake zungumza na huyo mtu kwa
utaratibu, polepole, peke yake na mpe uangalifu wa kutosha.
Hakikisha kwamba hutoi lawama yoyote kwa mwathiriwa.
Kubakwa kamwe siyo kosa la mwathiriwa. Huyu kaka kabwa akiwa mdogo tena akatishiwa asiseme either ni ndugu au ni mfanyakazi wakike sasa niambie kitu kikubwa kwa sasa anahitaji ushauri nasaaa