Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Nitatizo lakisaikolojia .
Kama upo serious nenda kwa mtaalamu wa akili kwanza unashida kuhusu masuala ya mapenzi na unauoga fulani so unakuwa hujiamini.
So ukiwa unaenda kwa mtaalamu atakusaidia.
Kingine kuna mtu anajua kukupa dawa za miti shamba ukawa fresh ila sasa sina namba yake tena .
Alirudi kwao singida huyo mzee ndio kiboko .
Alimsaidia ndugu yangu .
Kingine punguza stress acha mazoea ya kutojiamini nakula vitu vizuri.
Vya nguvu uone mkeo pia akishughulikie if anakupenda
 
Asante sana kwa ushauri huu, japo kuwa kwakweli hanielewi nitajitahidi kumweleza zaidi
 
Ndugu zangu wanajamvi habarini.

Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Pole Sana mkuu.....jaribu pia kutembelea wataaalam wa afya wakushauri pia hata milo sahihi kulingana na tatizo lako,tiba za asili n.k
 
Tatizo liliisha au lipo anakuvumilia?
 
Ni kweli huwa nakuwa kama na woga fulani kabla ya tendo, na pia mke wangu sio mtu anayeshughulika, nisiposhughulika mimi yeye haangaiki, kama ukipata namba ya babu huyo plz
 
Kunywa jembe energy.
Supu ya pweza .
Karanga.
Vikishindwa nitakutajia Viagra za kitaalam
Naongezea

Nazi mbata iliyokauka
Muhogo mtamu
Karanga ndogo laini zenye maji maji
Tende kavu
Maziwa fresh glass 1×3 usiku kabla ya kulala meza na tembe 2 za kitunguu saumu
Juice ya karoti na nanasi glass 1×3 siku 7
Nyama nyama za kutosha kilo 2 kwa siku
Ugali au Wali kisoda ¼
Supu yenye pilipili kichaa za kutosha bakuri kubwa kila asubuhi usisagau kuweka ndimu au limau
Asali ya nyuki wadogo vijiko 2×3 siku 21
Juice ya matango ya kienyeji glass 2×3 siku 21
Juice ya vitunguu maji glass 1×2 siku 14
Juice ya cabbage glass 1×2 siku 7
Mbegu za Maboga tafuna au unga wake pika uji kunywa
Mbegu za Tikiti maji saga changanya na asali na kitunguu saumu lamba vijiko 2×3 siku 21

Km nimesahau ongezea
 
Ni kweli huwa nakuwa kama na woga fulani kabla ya tendo, na pia mke wangu sio mtu anayeshughulika, nisiposhughulika mimi yeye haangaiki, kama ukipata namba ya babu huyo plz
Uliwahi kulazimishwa penzi na mtu mzima ila niwakike muwe mnafanya naye tendo bila ridhaa yako au mkeo unamuogopa kiuhalisia ?????
Si yeye tu unamuogopa halafu ukiwa na watu wengine unawapa vidonge vyaoo.

Kwanza kama ndio nikwa mkeo tu basi jaribu kumuona unahaki naye .
 
Nimejitahidi kufanya mazoezi ya kukimbia bila mafànikio
Fanya mazoezi huna tatizo

Asante mkuu
 
Mkuu, pole. Jifunze kumridhisha kwa mdomo na mkono shem wetu.

Pia usione aibu kuongea nae si mke wako bwana.

Na mwisho, punguza stress. If possible jaribu kutoka nae out uone kama. Utakua bado na shoo ya jogoo.
 
Ndugu zangu wanajamvi habarini.

Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu

Huna tatizo, tatizo lako ni kusoma mitandaoni na kusikiliza watu kuhusu wanawake, mke wako Sio kama wakila mtu!

Jadiliana na mkeo kwa uwazi kama ni tatizo kwake, tumia skills zakiuanaume, ukiona ni shida kwake rejea tuone cha ku fanya.

Nimegundua tatizo kubwa la vijana ni pesa, ukiwa Huna pesa lazima uume usinyae, na unakosa ujasiri, kwa hiyo unataka supplement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…