Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Umeoa malaya au umeoa mke? Kama ni mke TULIA! Ndoa ya mme na mume haiwezi kuvunjika sababu ya ngono, iimarishe kwa love story na outing!
 
Hiyo mimi napiga ASUBUHI tu bado mchana bado USIKU kwa siku jumla sio chini ya mara 15 bado usiku wa Giza NIKIENDA KULALA NAKUWA PEKEYANGU huko napiga hata mara 20 NAKUWA na uhuru wote .ASUBUHI naamka usingizinkama wote
HV mnakuwaga seriuoa au mnatanianyinyi vijana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HV Ni Kweli ulikuwa unapiga nyeto Mara 6 kwa siku au huwa mnawadanganya watu hap

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unasaga na unakula Moja kwa moja mm nadhani ulaji pia auangalie vzr

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mm nadhani Kama mwanmke Hana amsha asmaha hata kushika dushe nakulichezea inabidi umfundishw

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Leoooo... pole mkuu.. lakn hilo tatizo linatibika. Subr uendelee kupokea ushauri
Asa
Nenda kwa daktari umuone watakusaidia...usinywe midawa ya mtaani Wengi wanafanya biashara wapate pesa.
Asante kwa ushauri mzuri
 
Asante sana mkuu, tutafute pesa
 
Hizo ni ngonjera ishu iko hivi kama mwanaume huwez rusha mkojo mbali na huwezi ongeza kwa pressure na kupunguza na kama jogoo hawiki asubuhi, mchana na kabla hujalala unatatizo la nguvu za kiume
Mfano mim hata nikiongea na mwanamke mda mwingine jogoo anawika mpaka nimeacha kuchomekea
 
Husijione mnyonge mzee vyote viko ndani ya uwezo wako, una baraka zote za kutawala na kumridhisha mkeo /mwanamke yeyote
Maungo Na Uwezo Unao
Amini Umekamilika Kama wanaume Wengine
Husikamie show calm down Vyote vipo chini Ya Utawala Wako, Mpe Tabasamu La Ushindi Umpendae
 
Asante mkuu
 
Kuna kitu hujui nimesomea kuhusu mwili wa mwanadamu.
So kuna watu wanashida ya kuwa nawanawake karibu na hasa kwenye tendo ni kwanini either aliforciwa kushiriki bila ridhaa yake kwa hiyo ikajenga woga kwenye akili yake kwamba haandaliwi analazimishwa kufanya hilo tendo kwa lazima hasara zaka ndio hizo akiwa na mwanamke nguvu za kiume zinashuka na hazimo hadi huyo mtu wake amlazimishe kama huyo wa mwanzo ndio zitakuja kwa kasi.
 
Ndugu zangu wanajamvi habarini.

Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
Kula mboga za majani, samaki changu, maji mengi na ubini wako uhakikishe unatafuna kila wiki.

Pia tatua matatizo yako yanayosumbua akili. Kama saikolojia yako ina makande ndani hautakaa udinde kisawasawa
 
Sio kweli Kuna sex na love, jiulize wale Wanaume wanaenda kununua wale Malaya wanawapenda kwanin jogoo anawika kwa Malaya kwa kiasili kipaumbele kwa mwanaume ni sex narudia tena mwanaume anataka sex alafu love, ndo wako Wanaume hadi kichaa akikaa vibaya wanapita nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…