🤣🤣Mkuu usichukulie poa mbona kabinti kangu ni kakimatumbi ila nakapika kaje kugundua kitu🤣Well, una point ila sasa hii ni kwa cluster ya binadamu wachache ambao wana upekee na hata mambo ya ndoa si ya maana au umuhimu kwao, upekee wao unawatenganisha na binadamu wengine, Sasa hawa watanganyika na nishati ya nuclear wapi na wapi? Kwamba aachane na ndoto ya kuvumbua nuclear ili aolewe? Huku ndoto za wengi ni usumbufu tu kwa jamii, kuolewa kunaondoa shida ya kutafuta mume uzeeni akiwa na watoto wasio na baba.
Mkuu kapike kaive ila akifika 24 hakuna dalili ya uvumbuzi akivumbua mume mwenye akili mruhusu aolewe labda ataleta wajukuu wavumbuzi.🤣🤣Mkuu usichukulie poa mbona kabinti kangu ni kakimatumbi ila nakapika kaje kugundua kitu🤣
Kiukweli akipenda kuolewa ni sawa , asipo penda ni sawa pia ila namfundisha zaidi kujitegemea yeye kama yeye na kujiamini.Mkuu kapike kaive ila akifika 24 hakuna dalili ya uvumbuzi akivumbua mume mwenye akili mruhusu aolewe labda ataleta wajukuu wavumbuzi.
Hilo ni la lazima mkuu.Kiukweli akipenda kuolewa ni sawa , asipo penda ni sawa pia ila namfundisha zaidi kujitegemea yeye kama yeye na kujiamini.
Na binti asipo pikwa na baba kimbinu atakuja kuwa mpira wa konaHilo ni la lazima mkuu.
Vijana wengi weshakuwa mlenda mlenda, watu wa kutafuta lawama na visingizio vya kukwepa nafasi zao za maamuzi na majukumu.
Hakuna option ya kumlinda binti na jamii ya vijana aina hii zaidi ya kuhakikisha kuwa anaweza kujitegemea ila asisahau, yeye sio mwanaume, ni mwanamke, mama ajae na mlezi. Nakuelewa maana ninao mabinti.
Kuna vijana washenzi mno. Usisahau kumtumia mama yake pia. Mkimlea kwa pamoja na kwa utulivu anavuka salama mpaka anajitambua.Na binti asipo pigwa na baba kimbinu atakuja kuwa mpira wa kona
Huyo atalelewa kijeshi tu hakuna cha mama wala nini , maisha ya sasa ni vita vita 😁Kuna vijana washenzi mno. Usisahau kumtumia mama yake pia. Mkimlea kwa pamoja na kwa utulivu anavuka salama mpaka anajitambua.
Ok mkuu, kama mama hapatikani nakuelewa. Binafsi nina bahati moja, mama watoto ni mkali yule wa kupiga mpaka mateke mtoto akifanya ujinga, mm naongea mara chache mno ila sasa ikitokea jambo serious tukamchangia mtoto ananyooka kama rula.Huyo atalelewa kijeshi tu hakuna cha mama wala nini , maisha ya sasa ni vita vita 😁
Sipigi mtoto mkuu na mwanangu anajua kibaya na kizuri kwa mipaka yake , ukikaa nae mwenyewe utafurahia tu anatakavyojiamini mbele yako kwa mipaka.Ok mkuu, kama mama hapatikani nakuelewa. Binafsi nina bahati moja, mama watoto ni mkali yule wa kupiga mpaka mateke mtoto akifanya ujinga, mm naongea mara chache mno ila sasa ikitokea jambo serious tukamchangia mtoto mbona wananyooka kama rula.
Basi una bahati. Hawa wabantu bila viboko sometimes wanasumbua, hawakupi unachotegemea kutoka kwao. Mm naadhibu mara chache ila mama yao anapiga. Amuachie task arudi akute haijafanywa halafu maelezo hayaeleweki eleweki mtoto anaisoma namba. Ila sasa hivi wamekua, tunaonana nao mara chache.Sipigi mtoto mkuu na mwanangu anajua kibaya na kizuri kwa mipaka yake , ukikaa nae mwenyewe utafurahia tu anatakavyojiamini mbele yako kwa mipaka.
Mtoto ukimfundisha toka mdogo anaelewa tu , sema mara nyingi wazazi wanakosa mda na watoto wao .Basi una bahati. Hawa wabantu bila viboko sometimes wanasumbua, hawakupi unachotegemea kutoka kwao. Mm naadhibu mara chache ila mama yao anapiga. Amuachie task arudi akute haijafanywa halafu maelezo hayaeleweki eleweki mtoto anaisoma namba. Ila sasa hivi wamekua, tunaonana nao mara chache.
Nakazia hapaLengo kuu kwa maisha ya mwanamke anaye jitambua ni kuolewa na kuwa na familia imara, hayo mengine ni ziada tu.
Mkuu umetema madini ya uhakika Sana“Kila mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke,” msemo huu unaonyesha umuhimu wa mshirika wa maisha katika safari ya mafanikio.
Hali hii pia inatumika kwa mwanamke, kwani nyuma ya mwanamke mwenye mafanikio mara nyingi kuna mume mwenye kuelewa, kumuunga mkono, na kumheshimu.
Ndoa siyo mwisho wa ndoto za mwanamke, bali ni nafasi ya kushirikiana na mwenza ambaye anaelewa thamani ya malengo yake.
Katika ushirikiano wa ndoa, mawasiliano mazuri, kuheshimiana, na kupanga maisha kwa umakini huweza kuleta mafanikio kwa pande zote mbili.
Mwanamke anayetamani kufanikisha ndoto zake anahitaji mume mwenye maono yanayofanana na yake, ambaye atakuwa mshirika wa kweli wa safari yake.
Mume anayejitahidi kumsaidia mkewe, kumtia moyo, na kushirikiana naye katika kugawanya majukumu ya familia na maisha binafsi, huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yake.
Vivyo hivyo, mwanamke mwenye busara anaweza kuwa chanzo cha nguvu kwa mumewe kufanikisha malengo yake. Kwa hiyo, mafanikio bora katika ndoa hutokana na kushirikiana, kuheshimiana, na kuthamini ndoto za kila mmoja. Ndoa yenye msingi wa upendo na uelewa ni kama daraja la kupita kuelekea mafanikio ya kweli.
Tatizo siku hizi watu hawana time ya kudiscuss hayo yoteView attachment 3164657Kabla hujaingia kwenye NDOA haya ni baadhi ya mambo ya msingi ya kujadili na mwenzio
Ni kweliMtoto ukimfundisha toka mdogo anaelewa tu , sema mara nyingi wazazi wanakosa mda na watoto wao .
Mwanangu kua uyaone Bado mchanga sana kuzielewa hizi mambo Barbara😀😀😀Kwanini siku zote tunafikiriaga mambo negative na sio positive...sioni kama kuna ubaya mwanamke akiongeza degreee