Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
-
- #21
Kwanini siku zote tunafikiriaga mambo negative na sio positive...sioni kama kuna ubaya mwanamke akiongeza degreeeUwezekano wa Mwalimu kutembea na Mwanafunzi wake ni mkubwa sana ukilinganisha na watu wengine. Ndiyo maana wanaume wengi huwa hawataki kusikia suala la wake zao kuendelea kuongeza digirii.
Mimi sijaoa ila huwa napiga stori na baadhi ya mabro. Majibu mengi ninayo yapata ni ya namna hiyo. Kwahiyo hata wewe ukiamua kuolewa una uwezekano mkubwa wa kukutana na mwanaume mwenye huo mtazamo.
Ndio ipo hivyo yani.
Kwa hiyo mwanamke hastahili kuwa tajiri akiwa na ndoa?Ndyomaana nikasema wanawake wanao jitambua, hao wengine wenye ndoto za kuwa matajiri au kupata vitu fulani ndyo sababu ndoa nyingi hazidumu.
Shida ipo kwenye kuchapiwa. Hakuna mwanaume anayefurahia hicho kitendo.Kwanini siku zote tunafikiriaga mambo negative na sio positive...sioni kama kuna ubaya mwanamke akiongeza degreee
Wanaona siku zote mwanamke anapaswa kuwa chiniKwa hiyo mwanamke hastahili kuwa tajiri akiwa na ndoa?
Anastahili lakini haipaswi kuwa lengo kuu kwake.Kwa hiyo mwanamke hastahili kuwa tajiri akiwa na ndoa?
Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Unaona unyama mwenyeweemadreva wa wamalori tunawapelekeeni moto wake zenu ataree mazeee...picha la apo juzi kati, lishangaz nimelipekea motoo atareeee ndani ya trela yanguu...yaani ni full makojoziii
View attachment 3164482
Mimi najua tu pale mwanamke anapoolewa na ndoto zake zinaisha maana hata huyo mwenza atamsupport kipindi Cha kwanza kwanza wakiozoeana basi imeisha hioKuolewa si kikwazo kwa mwanamke kufanikisha ndoto zake, bali inategemea aina ya mwenza alionaye, juhudi zake binafsi, na jinsi anavyosimamia majukumu ya ndoa na maisha yake.
Mwenza anayemuunga mkono, mawasiliano mazuri, na mipango thabiti vinaweza kumwezesha mwanamke kufanikisha ndoto zake hata akiwa mke na mama.
Ndoto yangu kubwa ni kuweza kuwa na uwezo wa kufanikisha chochote nachohitaji kwa wakati nikiwa mahali popote,. hapo nimeunganisha Kila kituUna ndoto gani binti ambazo unataka kuzitimiza nje ya ndoa?
Uwezo wake wa kuzielewa hisia zako na maoni yako kisha kuendana nawewe bila kukufanya ujisikie vibaya .Kivipi sasa
Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Maneno hayo yanaonekana ni marahisi sana ila sasa ingia kwenye ndoa utaona kama ayo mawasiliano mazuri yatakuwepo ata kuungwa mkono kufanikisha ndoto haitakuepo“Kila mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke,” msemo huu unaonyesha umuhimu wa mshirika wa maisha katika safari ya mafanikio.
Hali hii pia inatumika kwa mwanamke, kwani nyuma ya mwanamke mwenye mafanikio mara nyingi kuna mume mwenye kuelewa, kumuunga mkono, na kumheshimu.
Ndoa siyo mwisho wa ndoto za mwanamke, bali ni nafasi ya kushirikiana na mwenza ambaye anaelewa thamani ya malengo yake.
Katika ushirikiano wa ndoa, mawasiliano mazuri, kuheshimiana, na kupanga maisha kwa umakini huweza kuleta mafanikio kwa pande zote mbili.
Mwanamke anayetamani kufanikisha ndoto zake anahitaji mume mwenye maono yanayofanana na yake, ambaye atakuwa mshirika wa kweli wa safari yake.
Mume anayejitahidi kumsaidia mkewe, kumtia moyo, na kushirikiana naye katika kugawanya majukumu ya familia na maisha binafsi, huchangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yake.
Vivyo hivyo, mwanamke mwenye busara anaweza kuwa chanzo cha nguvu kwa mumewe kufanikisha malengo yake. Kwa hiyo, mafanikio bora katika ndoa hutokana na kushirikiana, kuheshimiana, na kuthamini ndoto za kila mmoja. Ndoa yenye msingi wa upendo na uelewa ni kama daraja la kupita kuelekea mafanikio ya kweli.
Saizi mshavurugwa ata kupata mwanaume wa kuelewa hisia na malengo yangu ni ndoto za mchanaUwezo wake wa kuzielewa hisia zako na maoni yako kisha kuendana nawewe bila kukufanya ujisikie vibaya .
Kama hana uwezo huo wewe utakua ni mama wa nyumbani tu mpaka utakapo jiongeza mwenyewe .
Kumaniisha napaswa kusahau targets zangu binafsi Kisha tuangalie targets zetu kwa pamoja,.........huoni kama ntakuwa najikandamiza mwenyeweAisee kwa hili swali lako, kamwe usiolewe, utakuwa mwiba kwa atakayekuoa na mwiba kwako mwenyewe kwa huu mtazamo wako!
Mwanamke mwenye serious targets binafsi na asiingie kwenye ndoa kabisa, ndoa ni kujenga pamoja.
Kupata mwanaume sahihi au asiye sahihi inategemea na Akili yako, Tabia, Nidhamu hata muonekano wako Unavyojiweka.Saizi mshavurugwa ata kupata mwanaume wa kuelewa hisia na malengo yangu ni ndoto za mchana