Binti, Toka umepost hii hoja, na vile unavyopambana na hoja za Wana humu ndani kwa ujasiri na bila kuchoka, KINACHOONEKANA DHAHIRI KWAKO NI HIKI;Kumaniisha napaswa kusahau targets zangu binafsi Kisha tuangalie targets zetu kwa pamoja,.........huoni kama ntakuwa najikandamiza mwenyewe
•Ni wale watoto waliolelewa na mzazi mmoja (Mama)
•Ni mbishi ambaye haupo tayari kushuka.
•Una misimamo mikali juu ya kile unachoamini wewe
•Speed ya mdomo ni zaidi ya 2000wpm (Words Per Minute 😎😎)
Kwa HIZO points..., hasa ya pili Hadi ya nne,... Mwanangu usijiingize kwenye ndoa!! Ukithubutu tu,... jiandae kuwaita wanaume wote mbwa tu