Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
417
Reaction score
1,999
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John

Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje

Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari

Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia

Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,

Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu

Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini

Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
 
Mfumo alioutengeneza Nyerere kuzuia nchi isiingilike kirahisi na wenye nia mbaya kutoka nje ya nchi yetu ni mzuri mno na nikiri naupenda sana

Shida yetu kubwa iliyo tufikisha hapa tunapenda sana bila kuwa na kiasi kiufupi MAHABA ndiyo yaliyotufikisha hapa "Mahaba niue" nayatatuua kweli itazame China hakuna mahaba kule
 
Nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe.
 
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John

Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje

Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari

Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia

Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,

Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu

Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini

Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
Tatizo lipo CCM na ndani serekali inazoziunda. Kuulaumu upinzani ambao haujawahi kuunda serekali ni kujilisha upepo.
Kuhamisha lawama na ku play victim ni tabia za kike.
 
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John

Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje

Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari

Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia

Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,

Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu

Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini

Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
Huyo ndiye muasisi wa yote yanayo endelea sasa sina cha kumkumbuka huyo mtu katuachia taifa la hovyo na siasa zake za kibabe
 
Picha la Kutisha

1784855100902.png

1784855126891.png

/
 
Unajua ujinga ni nini mkuu? Ujinga ni kuendelea kuwaza kuwa kuna watu walihamasisha zile vurugu kwa vijana!

Kwa kuwaza hivi hatutatui tatizo la kweli, tunajitafutia sababu alafu tunazichukulia kama ndio tatizo ilhali tatizo la kweli hatutaki kulizungumzia!

Tatizo la kweli ni wale vijana wenyewe, tujiulize wamefikaje pale, hivyo tu. Ingekuwa wale vijana hawana uchungu na ni wazalendo hakuna namna wangeweza kushawishika na lolote na yoyote. Na kama unabisha hebu acheni kutumia nguvu za kijeshi acheni maisha yarudi neutral kisha utaona.
 
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John

Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje

Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari

Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia

Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,

Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu

Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini

Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
Mkuu hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Usichojua kuwa hiki sio kile kizazi kilikuwa kinasubiri taarifa ya habari ya saa 2 usiku kulishwa taarifa nini kinaendelea nchini. Kwa sasa watu wanajua ukweli wote bila kusubiri taarifa za kupika za serekali. Kama mlitegemea kutumia mbinu za miaka ya 90 kukaa madarakani kwa shuruti, basi mmeukalia safari hii. Na kwa kukuhakishia mtatoka madarakani taka mistake, na mtatoka hata kwa umwagaji mkubwa wa damu, na wote mtaishia jela na kazi ngumu.
 
Magufuli ndio alianzisha mambo yote ya ajabu ajabu.
Dikteta Uchwara.

1. Kuua.
2. Kuteka
3. Kubambikia watu kesi.
4. Kivunja sheria na katiba.
5. Kuziia mikutano ya kisiasa.
6. Kupika takwimu.
7. Kusingizia wapinzani uongo.
8. Kupora uchaguzi.
9. Kuvuruga nchi.
10. Kupiga na kuua watu kwa Risasi.
11. Utekaji.
12. Magufuli alikuwa mbaya sana tutafika asubuhi ama kiandika kitabu.
 
Back
Top Bottom