Nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe.Mfumo alioutengeneza Nyerere kuzuia nchi isiingilike kirahisi na wenye nia mbaya kutoka nje ya nchi yetu ni mzuri mno na nikiri naupenda sana
Shida yetu kubwa iliyo tufikisha hapa tunapenda sana bila kuwa na kiasi kiufupi MAHABA ndiyo yaliyotufikisha hapa "Mahaba niue" nayatatuua kweli itazame China hakuna mahaba kule
Tatizo lipo CCM na ndani serekali inazoziunda. Kuulaumu upinzani ambao haujawahi kuunda serekali ni kujilisha upepo.Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John
Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje
Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari
Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia
Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,
Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu
Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini
Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
Huyo ndiye muasisi wa yote yanayo endelea sasa sina cha kumkumbuka huyo mtu katuachia taifa la hovyo na siasa zake za kibabeBaada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John
Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali wanayopitia kulindi amani na rasilimali za nchi hii zisiporwe na mataifa ya nje
Nimeona namna viongozi wa vyama vya siasa wanavyotumika na mataifa ya nje kutaka kuingia madarakani ili kukidhi matakwa ya wazungu hii ni hatari
Nimekuja kuona ya October 29 jinsi vijana masikini wa nchi hii walivyohamadishwa kuchoma Mali za watu na za umma,kwa kigezo Cha ukosefu wa democrasia
Sababu ya ukosefu wa democrasia ndo hiyo hyo iliyotumika kumuondoa Gadaffi Libya, uangalie Libya ya Gadaffi isiyo na democrasia na Libya ya sasa yenye democrasia ni huzuni,
Kibaya zaidi katika watu waliopata athari ya October 29 hakuna mtoto Wala ndugu wa hao wanaohanasisha vurugu
Hivi kwa kile kilichotokea Kuna baba gani anaweza kumwambia mwanae akafanye vurugu, hivi kwa uchomaji ule wa vituo vya mafuta, vituo vya police wale watu wangeachwa kwa masaa 24 ingekuaje au serikali ilitakiwa kufanya nini
Nimemkumbuka John Magufuli kama yeye ndie angekua raisi vituo vya mwendokasi vinachomwa moto John yupo Ikulu Dodoma ingekuaje?
Mkuu hapa ndio unaona umecheza mindgame la hatari. Usichojua kuwa hiki sio kile kizazi kilikuwa kinasubiri taarifa ya habari ya saa 2 usiku kulishwa taarifa nini kinaendelea nchini. Kwa sasa watu wanajua ukweli wote bila kusubiri taarifa za kupika za serekali. Kama mlitegemea kutumia mbinu za miaka ya 90 kukaa madarakani kwa shuruti, basi mmeukalia safari hii. Na kwa kukuhakishia mtatoka madarakani taka mistake, na mtatoka hata kwa umwagaji mkubwa wa damu, na wote mtaishia jela na kazi ngumu.Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John