Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa

Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Mimi pia namfatilia sana.., anakuja Kenya ama Bongo?
 
Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa

Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.

Nabii msuka Rasta na mwenye tattoo?. Mzee kuimba wimbo wa funguo
 
Tukuoneshe vipini na Heleni za Mfalme Suleimani ?
Unafikiri Mungu unachukizwa na Waafrika wenye tamaduni za kuvaa ngozi kufunika sehemu za siri tu ????

Acheni uongo, mwanaume gani marasta na vipini? Mfalme Suleiman kuvaa vipini haimanishi ni ruksa, ndio alikuwa na mahawara wengi. Usitumie neno kupotosha. Hao ni matapeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…