third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
Pole sana. Hayo matatizo yalianza ghafla tu au yalikuja taratibu mpaka kufikia hali iyo? Mimi nina tatizo la kushindwa kusikia vizuri sio kiziwi completely kabisa ila ni ngumu kuelewa sauti inayotoka kwenye spika mfano tv, redio au kuongeleshwa kwenye simu, ni ngumu kumuelewa mwenye kigugumizi, sehemu yenye makelele mfano bar, kibanda umiza au mtu akiwa mbali kuelewa kinachongewa ni kwa mbinde sana yaani mngurumo wa sauti nausikia ila ndio haiji kimoangilio kuweza kuelewa nini kimesemwa lakini tukiwa face to face au umbali mfupi nakusikia vizuri tu.Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔
Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..
Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??
Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Kwenye maisha kila mtu anamtihani wake ambao atapitia kwa maoni yangu maisha ya kila binadamu yameshaandikwa sisi tunaishi tu ili kutimisha kile kilichoandikwa juu yetu yetari..Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔
Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..
Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??
Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Wasalaaaam

Vuta bangi ya Njombe, utakuja kunishukuruWasalaaaam

Hongera na pole. Vidonda viliponyeshwa na nini?Pole sana mkuu usikate tamaa ata Mimi niliumwa sana vidonda vya tumbo hadi nilikata tamaa ila asaivi Nipo fresh kikubwa usiishi kwa hofu na usikate tamaaa ipo siku utapona dada yangu polee sana kwa kuumwa
Kuna dawa nilipewa muhimbili nimri nimepona juzi tuHongera na pole. Vidonda viliponyeshwa na nini?
NIMR ? Au tiba mbadala?Kuna dawa nilipewa muhimbili nimri nimepona juzi tu
Ndio wanatiba mbadala pale mkuu inasaidia sanaNIMR ? Au tiba mbadala?
Ni ile kichupa wanauza elfu 10? Ulikuwa na wale bacteria au ?Ndio wanatiba mbadala pale mkuu inasaidia sana
Ndio ila hao nilipona mkuu ndio nikanywa na hiyo nikapona mkuu unatakiwa ule sana parachichiNi ile kichupa wanauza elfu 10? Ulikuwa na wale bacteria au ?
1.Ishi maisha yako halisiWasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔
Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..
Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??
Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Napenda sana parachichi, ndio tunda langu kubwa. Mimi acidity ndio inasumbua sana. Ulitumia chupa ngapi?Ndio ila hao nilipona mkuu ndio nikanywa na hiyo nikapona mkuu unatakiwa ule sana parachichi