Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Dunia haipo na maradhi hayapo binadamu hawapo pia nikama ndoto. Au Animation game.
Ndani kunamatukio yote,watu,magari,wanyama,pombe,maadui majumba yakifahari na wanawake wazuri wenye chura ila uhalisia havipo kabisa nindoto tuu.
Ubongo kushindwa kupata tafsiri sahihi juu yako wewe mwenywe imefanya uone huu ndio uhalisia ila ndoto ukaipa jina
UONGO.
 
Bora yako shughuli zako zinaendelea kuna wengine akiumwa na kipato kinasimama maana mwili wake ndio mtaji wa kipato chake , kumbuka ni baba huyo ana familia yote inamtegemea yeye tujifunze kushukuru Kwa kila jambo kwani mitihani na changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu.
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Pole sana. Hayo matatizo yalianza ghafla tu au yalikuja taratibu mpaka kufikia hali iyo? Mimi nina tatizo la kushindwa kusikia vizuri sio kiziwi completely kabisa ila ni ngumu kuelewa sauti inayotoka kwenye spika mfano tv, redio au kuongeleshwa kwenye simu, ni ngumu kumuelewa mwenye kigugumizi, sehemu yenye makelele mfano bar, kibanda umiza au mtu akiwa mbali kuelewa kinachongewa ni kwa mbinde sana yaani mngurumo wa sauti nausikia ila ndio haiji kimoangilio kuweza kuelewa nini kimesemwa lakini tukiwa face to face au umbali mfupi nakusikia vizuri tu.

Niligundua nina tatizo nikiwa olevel lakini kwenye kutafuta matibabu ilijulikana tatizo lilinianza tangu nikiwa around miaka 7-9 sema lilikua linakuja taratibu kiasi kwamba sio rahisi kugundua immediately bila vipimo.

Nimezunguka hospital nyingi kusaka matibabu na sijafanikiwa mara ya mwisho nilienda CCBRT baada ya vipimo wakasema shida ni mishipa na nikitumia hearing devices kuna uwezekano wa kuongeza ukubwa wa tatizo nilipewa dozi ya miezi mitatu lakini lakini sikufanikiwa kupona, kwa sasa nimeamua kujikubali tu kwamba ndio mapito yangu hayo kila mtu ana mtihani wake duniani.

Kwenye kujumuika na jamii, mishe za kutafuta mkate na interview kwenye kutafuta ajira kuna changamoto kubwa sana kwa kweli.

Fanya mpango uende hospitali kubwa. Mishipa ya kwenye ubongo ikishaanza kualibika athari zake inawezekana kabisa zikasababishia matatizo ya macho kuona, mdomo kuongea na kupoteza stamina ya miguu.
 
Pole kwa unayopitia Leejay49 ila vyovyote vile linda sana Moyo wako(amani,unavyopenda) maana ndio kila kitu.

Maana kila unachokiamini ni haki kwako (kiwe kizuri au kibaya) na kile unachokiri ndicho kinatokea.Stay positive always na jua kwamba hilo nalo litapita na utakuwa strong zaidi endelea kumtegemea aliyekuumba.

Mithali 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
 
Kinachokufanya unaumwasana ni hofu kunawakat kubaliana na hali halisi
Huwa kuna kushuka kinga mwili hasa unapokuwa stress maintain stress acha kuwaza kilakitu ona kawaida
Ushawah wafikiria wanaogua kansa ya utumbo wengine koo imagine maumivu Yao?
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Kwenye maisha kila mtu anamtihani wake ambao atapitia kwa maoni yangu maisha ya kila binadamu yameshaandikwa sisi tunaishi tu ili kutimisha kile kilichoandikwa juu yetu yetari..

Mimi binafsi nilishafanya juhudi sana nikawa na vitu vingi nyumba, gari familia bado mdogo tu now sina vyote familia imesambaratika na mali kwishaa na wala sijakata tamaa naanza upyaa na naamini nitakuwa na zaidi ya hivyo nilivyokuwa navyo!
Usiangalie madhaifu yako au unyonge wa afya wewe endelea na mambo yk plan simamia wewe piga kazii tu kazi juu ya kazi..one day yes tutaziishi ndoto zetu.
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??

Pole Sana Ila ungeweza kuelezea unaumwa nini na umefikia wapi kimatibabu .

Kuhusu Maisha jambo gumu Sana ni kuumwa. Naweza kusema health is wealth

Nini ufanye ?

Anza utamaduni wa kujiponya Fanya self-healing kwa kutumia ile kanuni ya "denial of negativity" kuyakataa mabaya.

Pili
Jitahidi ufanye night prayers kuanzia saanane hadi saatisa usiku.

Tatu.
Jikabidhi katika mamlaka za juu nikimaanisha mkabidhi Mungu Maisha yako .

Nne
Fanya Sana Gratitude "hii iwe Kama dua maalumu kila ukikumbuka chochote wewe shukuru Sana .

Kuhusu mali ,Kazi , biashara nyumba ,mpenzi ,watoto n.k

Hivi vitu unabidi kuviendesha na hata ukivipoteza bado utapata vingine so Amini kuwa cha kwako kitaendelea kuwa chako na ambacho sio chako kitaondoka ,this is universe law.

Pia kipindi hiki kigumu usisite kuwa karibu na mentor wako , wazazi Kama wapo na familia kwa ujumla.

Naimani utarudi katika hali yako nakuombea Sana Mungu akufanyie njia pole Sana .
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Vuta bangi ya Njombe, utakuja kunishukuru
 
Pole sana mkuu usikate tamaa ata Mimi niliumwa sana vidonda vya tumbo hadi nilikata tamaa ila asaivi Nipo fresh kikubwa usiishi kwa hofu na usikate tamaaa ipo siku utapona dada yangu polee sana kwa kuumwa
Hongera na pole. Vidonda viliponyeshwa na nini?
 
Pole sana hiyo inaweza kuwa temporary ,utapona usijali. Hujatuambia umeumwa nini hadi kufikia kumata ukiziwi?
 
Polee kama hutojali share nasi ni ugonjwa gan unakusumbua na umefikia wap kimatibabu?
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
1.Ishi maisha yako halisi
2.Acha kufikiri nani anafikiria nini kuhusu wewe
3.Ishi kulingana na kipato chako
4.Jiepushe na yale yanayokusababishia msongo wa mawazo
4.Epuka kukasirika kwa mambo mbali mbali itafute amani na furaha yako kwani itakuwezesha kukabiliana na maisha kwa namna chanya.
5.Tafuta namna ya kujumuika na jamii inayokuzunguka kwa namna inayokupatia amani na utulivu
 
Naamini utakuwa umeenda kumuona daktari
Lakini kama wewe ni mkristo usiache kwenda kwenye maombi kwa wale wachungaji wa kweli.
 
Back
Top Bottom