Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Tamaa ya ngono
 
Pole sana mdogo wangu,
Najua wengi watakutukana na kukubeza na kuona huna maana. Lakini kati Yao utakuta ndiyo maisha waliyoyapitia!

Sasa, Fanya hivi;
1. Huyo mwenye kiburi na dharau na mambo makubwa utamiacha ila polepole bila maumivu.
2. Chagua mmoja kati ya wawili waliobakia, awe wa future Yako .
3. Hiyo ni kwa usalama wa moyo wako.

Jiandae Kwa kikao cha mwezi wa tu.
 
Chukua huyo wa tatu maana kidogo anaonekana ana akili kichwani,huyo wa kwanza kwani utakula kishundu chake,halafu hiyo unayoiita pisi mtasumbuana ukimuoa

ACHANA NA MAMBO YA TAMAA ITAKUPONZA,FANYA VITU KAMA MTU MZIMA
 
Shukran sana boss wangu ila pia kama hutojali ungenishauri pia kuhusu hao wawili
 
Chukua huyo wa tatu maana kidogo anaonekana ana akili kichwani,huyo wa kwanza kwani utakula kishundu chake,halafu hiyo unayoiita pisi mtasumbuana ukimuoa

ACHANA NA MAMBO YA TAMAA ITAKUPONZA,FANYA VITU KAMA MTU MZIMA
Sawa mkuu shukrani sana
 
Kumbe kutoomba hela ni sifa mpya ya U-wife material?🤣🤣🤣🤣
 
Hatua ya kwanza ya mafanilkio ya mwanaume ni kuweza kuzitawala hisia zake za kingono.. ukishindwa hapo kazi unayo
 
kijana,
hatuoi tako wala sura. Sifa ya kwanza ya mke je ni ana hofu ya Mungu? ana huruma na wewe? akishakuwa na hivyo viwili then unaweza angalia hayo mengine ya maumbile.
Achana na single mother ingali wewe huna mtoto/hukuwahi kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…