Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

Mke wako ni huyo wa kwanza ila utakuja kuchapiwa kizembe kwa sababu ya ufwala wako..

Huyo wa pili abakie kuwa mchepuko wako
Huyo wa tatu Ambae ni jirani yako achana naye kwa sababu ni mke wa mtu..hao watoto mapacha usiache kuwapa chochote kama zawadi.
 
Melancholic chukua huu ushauri
 
Hao watoto aishi nao mkuu dada yake aliwachukua muda mrefu sababu mtoto awezi kulea watoto tena wawili
 
Hao watoto aishi nao mkuu dada yake aliwachukua muda mrefu sababu mtoto awezi kulea watoto tena wawili
Hata kama lakini sio mke wako huyo achana naye.
Sasa jidaganye kwa kufata nyege zako utakuja kurudi hapa baada ya miaka 9 au 10
 
Lengo la kuwatongoza wote lilikua ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…