Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Kwanini asiende yeye Kam yeye tuu. Hapo ndo unakuja kuona motives ni zile zile tu mali... Sasa kaona hana chake kaamua kutoa mapovu
Uzuri wa MALAYA hawezi kujificha,........nyumbani alitoroka sababu NJAA ni Kali,MALAYA ni MALAYA tu
 
Trauma hiyoo na wengi huwa wanakuwa entrapped hapo..

Mimi huwa naangalia matendo ya mtu kujua motives zake...
Yes, yaani watoto wanaokulia kwenye familia zenye ukatili, huwa wanaona ukatili nI kitu cha kawaida na wana uwezekano mkubwa wa kuurudia unless wapate mtu wa kuwaponya. Sasa huyu mwenzetu kakulia kwenye hayo mazingira mwanaume anafanya chochote na haulizwi ndio maana kaenda kulipa mahari kwa mwanamke mwingine na hajishtukii, dharau za kiwango cha SGR. Mimi hizo dharau sivumilii, utu wangu bado upo. Ukivumilia dharau mwanzoni, ujue zinakuja mbeleni zaidi ya hizo.
 
Wewe inakuuma nini unanipangia ni yako kama inakuuma na wewe uza yako vipi kwani mshamba mmoja wewe

Unaumia nikiuza uliumba wewe au Mimi ndugu yako wewe si Mungu kakupa uza na wewe Kama unazani ni rahisi

Unafikiri ukiniambia hivyo ndio itabadili uhalisia
Unaumia mwanume mwenzio kunitumia njoo basi utumiwe wewe
Sasa usitake attention za kiwaki hapa eti ooh nimepangiwa,eti ohhh alitaka anioe,.......kwenu MASIKINI ndio maana ukaenda kwa huyo MSUKUMA anakutomba Ili ule,
 
Kwanini asiende yeye Kam yeye tuu. Hapo ndo unakuja kuona motives ni zile zile tu mali... Sasa kaona hana chake kaamua kutoa mapovu
Hiyo biashara ni haki yake si kamfungulia yeye kwani kamfungulia nani?

Halafu si kamtumia Kwahiyo apoteze muda wake bure? 😹

Hapo kadogoo hiyo biashara ni halali yake na anapaswa kuondoka nayo.
Hayo ndo mafao yake!
 
Sasa usitaks attention hapa eti ooh nimepangiwa,eti ohhj alitaka anipe,.......kwenu MASIKINJ ndio.maana ukaenda kwa huyo MSUKUMA anakutomba Ili ule
Njoo akutombe wewe Kama unaona nafaidi
 
Hiyo biashara ni haki yake si kamfungulia yeye kwani kamfungulia nani?

Halafu si kamtumia Kwahiyo apoteze muda wake bure? 😹

Hapo kadogoo hiyo biashara ni halali yake na anapaswa kuondoka nayo.
Hayo ndo mafao yake!
Eti mafao ila wanawake bwana😂 yani hapi jasho hujatoa hujui kaipataje wewe ni kusomba tuu
 
Asante bila comment yako nisingelala maana wewe ndio shabiki yangu nambari one 😛😛😂
😹😹😹 Nilivyoona kadogoo tu nikajua tayari..!!

Mpo Wewe, da Mau, cacutee na Marry Diana huwa mnapenda sana nyuzi za aina hii..!!

Soon hao wenzio nao wataibuka na episode zao..!!

Au Ni mtu mmoja? 😜
 
Eti mafao ila wanawake bwana😂 yani hapi jasho hujatoa hujui kaipataje wewe ni kusomba tuu
Kifuta jasho hiko 😹
Sasa muda wote aliokuwa anachimbua shimo na kuliongezea kilometer ulitegemea aondoke hivi hivi?
 
Yes, yaani watoto wanaokulia kwenye familia zenye ukatili, huwa wanaona ukatili nI kitu cha kawaida na wana uwezekano mkubwa wa kuurudia unless wapate mtu wa kuwaponya. Sasa huyu mwenzetu kakulia kwenye hayo mazingira mwanaume anafanya chochote na haulizwi ndio maana kaenda kulipa mahari kwa mwanamke mwingine na hajishtukii, dharau za kiwango cha SGR. Mimi hizo dharau sivumilii, utu wangu bado upo. Ukivumilia dharau mwanzoni, ujue zinakuja mbeleni zaidi ya hizo.
Yes, huwa inakuwa mtu anabeba traits za wazazi hata kama asipojua. Itatokea tu kafanya yale yale hata kwa namna tofauti.

Kumbe jamaa alitoa mahari baada ya kujuana na kadogoo? Basi jamaa alifeli
 
Huu uzi sasa hivi mods wataupitia alooo 😹
 
Kifuta jasho hiko 😹
Sasa muda wote aliokuwa anachimbua shimo na kuliongezea kilometer ulitegemea aondoke hivi hivi?
Kwani raha akipata yeye tuu hebu acheni hizo bwanaa
 
Back
Top Bottom