Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Tatizo sio mimi tatizo huyo mukewe atakubali au ndio kurogwa tu

Nachoogoa ni migogoro haswa ya kurogana maneno siogopiii ila sangoma ndio naogopa
Simamia msimamo wako!kama ni uganga unatafuta zindko kwani kwenye biashara unafanyaje!!?maombi pekee au poda!!
 
Sidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu 😭
Hamna mtu asiyepigwa..sema huna network ya kamati ya roho mbaya na mipango
 
Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?

Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.

Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
❣️
 
Kama ni kweli baki kwa msukuma na usirudi kwa x.

Hakikisha hapo kwa msukuma unakaa kwa akili,,, akili ya kutengeneza Maisha yako!!!! muda huu ambao anakutumia hakikisha na wewe unamtumia.

Mtumie huyo kutengeneza kujenga uchumi wako,,, na usimzalie mtoto
 
Sidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu 😭
Tatizo huwa mnahisi kila msukuma ni mshamba...

Pole sana kwa yalivyo kukuta...

Hapo huna chako jamaa ana kutumia kama second hand..

Kingine angalia anacho kufanyia sasa ulinganishe na life la mtaa... Usije kuanza kulia tena

Cha kushauri angalia moyo wako in life kama bado hujaamua kufanya maamuzi ni heri usiyafanye kabisa.

Wanawake type yako huwa wanaishia paabay because mnatamaa sana. Hapo kinacho kuweka no jamaa ana mawe na anakuhudumia ila unajua fika kabisa Hina chako... Mali zote ziko kwa mke wake OG.

Hapo jibu unalo mwenyewe hakuna ushauri
 
Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Ushauri mbaya sana huu,
Imagine jamaa ndo anafacilitate duka... Unahisi huyo mwanamke ataweza ku handle! Hapo kama anaamua kumwacha ni bora aende akaanze upya...

Ikiwezekana akubali ya kuwa bado hana maisha kabisa.... Arudi nyumbani awasaidie wazazi huku akitafta namna ya kupata kazi aanze kujitegemea... Lasivyo atakimbia na mali, maisha yatamoiga alaf atarudi kwa msukuma tena.

Wanawake wengi sana huwa na illusive way ya kuyaona maisha wanadhani maisha ni rahisi rahisi tuu. Wengi wao wakitelekezwa akili ndo huwa zinawajia
 
Leo unadhani wewe ni mke wa pili kesho unashtuka kumbe wewe ni mke wa nne😂😂😂😂,hiyo ilimkuta shosti wangu kwa bwana wake mwenye pesa,mbaya zaidi yeye alizalishwa na mtoto, wanaume wa hivyo huwa hawabadiliki na wanaona hayo wanayofanyia wanawake ni sawa na wana haki kisa wana pesa. Bora usepe uendelee na maisha yako,ila usirudi kwa X, jijenge kwanza kiuchumi mambo ya mapenzi weka sub kwa sasa. Ukibaki kwa huyo msukuma nakuona utakavyolia kama ambulance miaka michache ijayo.
 
Tatizo huwa mnahisi kila msukuma ni mshamba...

Pole sana kwa yalivyo kukuta...

Hapo huna chako jamaa ana kutumia kama second hand..

Kingine angalia anacho kufanyia sasa ulinganishe na life la mtaa... Usije kuanza kulia tena

Cha kushauri angalia moyo wako in life kama bado hujaamua kufanya maamuzi ni heri usiyafanye kabisa.

Wanawake type yako huwa wanaishia paabay because mnatamaa sana. Hapo kinacho kuweka no jamaa ana mawe na anakuhudumia ila unajua fika kabisa Hina chako... Mali zote ziko kwa mke wake OG.

Hapo jibu unalo mwenyewe hakuna ushauri
Sipo nae kwasababu ya hela nipo nae kwakuwa nimempenda kwanza hata tunafahamiana Hakuwa na hela tulikuwa wote tunafanya kazi sehemu moja sema tu akaotea mchongo

Sina tamaa
 
Leo unadhani wewe ni mke wa pili kesho unashtuka kumbe wewe ni mke wa nne😂😂😂😂,hiyo ilimkuta shosti wangu kwa bwana wake mwenye pesa,mbaya zaidi yeye alizalishwa na mtoto, wanaume wa hivyo huwa hawabadiliki na wanaona hayo wanayofanyia wanawake ni sawa na wana haki kisa wana pesa. Bora usepe uendelee na maisha yako,ila usirudi kwa X, jijenge kwanza kiuchumi mambo ya mapenzi weka sub kwa sasa. Ukibaki kwa huyo msukuma nakuona utakavyolia kama ambulance miaka michache ijayo.
Na Hilo ndio linanipa wasiwasi maana ananiambia baba yake ana wake 5 kwao watoto wapo 36 mama yake ni bi mdogo
So nina wasiwasi isije ikawa mimi mke wa 4 au wa 5
 
Sipo nae kwasababu ya hela nipo nae kwakuwa nimempenda kwanza hata tunafahamiana Hakuwa na hela tulikuwa wote tunafanya kazi sehemu moja sema tu akaotea mchongo

Sina tamaa
Mmm inafikiriisha ujue.... Yaani ndani ya miezi hiyo 7 mkajuana mkafanya kazi Sehem moja.... Jamaa akajipata akakufungulia duka. Na bado huku jua kama anafmilia??

Labda kama ulipindisha storii. Na kama mlikuwa mnafanya kazi Sehem moja kwa nini ukiacha kazi kama sio tamaa?

Je duka linakuingizia doo kubwa kuliko Ajira? Jiangalie wewe sio huyo mwanaume.
 
Ushauri mbaya sana huu,
Imagine jamaa ndo anafacilitate duka... Unahisi huyo mwanamke ataweza ku handle! Hapo kama anaamua kumwacha ni bora aende akaanze upya...

Ikiwezekana akubali ya kuwa bado hana maisha kabisa.... Arudi nyumbani awasaidie wazazi huku akitafta namna ya kupata kazi aanze kujitegemea... Lasivyo atakimbia na mali, maisha yatamoiga alaf atarudi kwa msukuma tena.

Wanawake wengi sana huwa na illusive way ya kuyaona maisha wanadhani maisha ni rahisi rahisi tuu. Wengi wao wakitelekezwa akili ndo huwa zinawajia
Ukinifungulia duka linakuwa langu au lako? Hiyo ndio faida aliyopata katika hayo mahusiano aondoke nalo.
 
Mmm inafikiriisha ujue.... Yaani ndani ya miezi hiyo 7 mkajuana mkafanya kazi Sehem moja.... Jamaa akajipata akakufungulia duka. Na bado huku jua kama anafmilia??

Labda kama ulipindisha storii. Na kama mlikuwa mnafanya kazi Sehem moja kwa nini ukiacha kazi kama sio tamaa?

Je duka linakuingizia doo kubwa kuliko Ajira? Jiangalie wewe sio huyo mwanaume.
Tatizo unaruka uzi nimesema huko juu tuna mahusiano kwa miaka 3 hiyo miezi 7 ni ya kuishi pamoja
 
Ukinifungulia duka linakuwa langu au lako? Huo ndio faida aliyopata katika hayo mahusiano aondoke nalo.
Yes, linakuwa lako ila what caused mpka nikufungulie.... Si napata kitu kutoka kwako.?

Incident nyingine ni kuwa na kufunguliwa duka because I see a future with you.. Sio bure tu. Lasivyo ningekuwa nakupa vijisenti ukale bata
 
Una see future gani ya kumla ama
 
Habari za muda humu

Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu

Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha

Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo

Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)

Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma

Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri

Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa

Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea

Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo

Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri 🥺🥺
Wewe ni MALAYA,endelea KUTOMBWA tu Ili ule
 
Back
Top Bottom