Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,472
- 3,927
Napia anajua vyema namna yakuichapa mbususuSidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu ðŸ˜
Napia anajua vyema namna yakuichapa mbususuSidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu ðŸ˜
Hii ni One VERY BIG Mistake., kurudi kwa Ex wako ni kujichimbia kaburi lako.Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
I admire your wisdom lady which is deeply rooted. Huna papara na mihemuko unapotoa majibu yako. Majibu yako very composed mara nyingi hukubalika na wehu na wenye akili pia.Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?
Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.
Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Kiujumla wanawake wengi wao huwa hawajui wanataka nini kwenye haya maishaHii ni One VERY BIG Mistake., kurudi kwa Ex wako ni kujichimbia kaburi lako.
Kwanza umesema Msukuma anakuhudumia vizuri, amekupa mtaji na Biashara inaendelea vizuri, sasa swala la yeye kuwa na Mke wewe limekuathiri wapi hadi sasa? Kitu gani umeona kimepungua kwenye Maisha yenu ambacho kilikuwepo kabla na sasa baada ya kujua hakipo?
Kama umeishi nae miezi 7 na mmekuwa wapenzi tokea 2024 bila kujua ana Mke, wasiwasi wako sasa ni upi?
Je mmefanikiwa kupata mtoto na huyo Msukuma? Umemueleza akakutambulishe kwao amekataa?
Choose wisely.
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Nilidhani unawaza zaidi biashara kuliko huyo Mzee.Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri 🥺🥺
Bora uishi na mtu anaye kupenda maana atakujali kuliko mtu unaye mpenda sababu haujui hisia zake kazipeleka wapiKama ex yuko sirias na una upendo nae angalau kiduchu, jaribu kutafuta namna ya kumuacha msukuma uende ukaishi maisha utakayokua na amani nayo. Kuriko kuishi maisha ambayo siku zote utakua huelewi umefanya nini.
Kwake kutoa mahari anataka hata kesho lakini hata familia yangu utachukuliaje Hilo suala Kama nitakubaliKama kweli kaamua kukuoa, muambie akakutolee mahari na mfunge ndoa ya serikali au ya kimila.
Suala la kutoshtuka ni kawaida sana kwetu wanaume. Kwanza ukiona hajashtuka ina maana he knew what he is doing, na alikuwa ana hamu ujue ukweli wa mambo ili atue mzigo wa kuwaza.
Akili yangu mpk sasa haifanyi kaziJiongeze tuliza akili kwa biashara suka mipango uchomoke miaka 20+ uolewe uke wenza sikushauri abadani
Ondrrrrooka hapo acha kushoiya
Ehee unataka kusema nini hapaUmri wako ni mdogo sana kuingia kwenye ndoa za wake wenza
Sawa lakini sasa ninaenda miaka 27 ikifika OctoberFilisi ilo duka alilokufungulia alafu utembee zako binti wa miaka 24 unakubalije kizembe ivo kuolewa na mme wa mtu unajua ugumu wa uke wenza kweli?Hakuna raha kama kuwa na mume wako tu na sio uke wenza
AsanteDah kumbuka ngosha kakupa mtaji lakini ukitaka ukaolewe huko ni sawa uko sahihi ila jitahidi sana muachane kwa amani kwa maridhiano sisi ni pipo, point yako kuu apo mueleze hukutegemea kaoa/ku share na mtu so mbanie hapo hapo mengine watajazia wanasaikolojia nguli humu.
Ni kweli miaka 27 sasaUmri wako ni mdogo sana kuingia kwenye ndoa za wake wenza
😀😀😀Kama Bado hujazaa nae nenda kwa ex wako, ila ukumbuke ex harudiwi....
View attachment 3639377
unataka nisemejeEhee unataka kusema nini hapa
Nisubiri nidode ndio niolewe mitala eeMmwagie maji ya moto ya usoni akilala usiku halafu kimbia nchi.
Mtoto mbichi hivyo unakubali vipi kuolewa matala 😄😄😄😄😄