Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?

Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.

Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Wanawake wengine hawawezi kukaa bila mwanaume, mleta mada ni mmojawapo.
Tokea lini ex akarudiwa
 
Ila wanawake wa siku hizi, 24 yrs tayari Una Mabwana wawili? Na unataka kurudi kule uliko kuacha Kijana? Kama hapo hapo hata huyo Kijana X wako anataka kukutindua Tu akutupe kule aulize maumivu uliyompa ila ataoa Mwingine.
Daah nimesema kipindi nakutana nae nilikuwa na 24 inamaana ni miaka 3 imepita sasa ni 27
Sina mabwana wawili ninae msukuma huyo ex huwa tunawasiliana tu
 
Life haitabiliki inatakiwa wewe utulie ufanye maamuzi ambayo utaona sahihi kwako na huta yajutia kama unampenda msukukua kaanaye tu mbona kwao kuoa wake wawili ni kawaida na hata kama mke wake akijua hatafanya kitu kama ni msukuma mwenye maadili
Na kama unaenda kwa ex wako achana naye kwa amani na mwachie kila kilicho chake hii itakufanya ukaishi kwa amani na ex wako wasikudanganye ety mfilisi then utenane naye ubaya ni akiba
Ukweli ni kuwa ex simpendi ni vile tu nataka sehemu nikae.. Msukuma nampenda sana Sana sana

Kabila la mke wake sijui.. na huyo mwanamke anaishi mkoa tofauti Ila ni huku huku kanda ya ziwa

Nachokiogopa ni majuto tu sitaki kuja kusumbuliwa na mwanaume baadae au mwanamke wake
 
Life haitabiliki inatakiwa wewe utulie ufanye maamuzi ambayo utaona sahihi kwako na huta yajutia kama unampenda msukukua kaanaye tu mbona kwao kuoa wake wawili ni kawaida na hata kama mke wake akijua hatafanya kitu kama ni msukuma mwenye maadili
Na kama unaenda kwa ex wako achana naye kwa amani na mwachie kila kilicho chake hii itakufanya ukaishi kwa amani na ex wako wasikudanganye ety mfilisi then utenane naye ubaya ni akiba
Hapo kwenye kumuachia kila kilicho chake ndio kuna utata. Huyo msukuma angekua masikini mbona bi dada angeshasepa bila hata kuaga
 
Nilidhani unawaza zaidi biashara kuliko huyo Mzee.

Biashara unayo una shida gani Tena?

Huyo x anayo Hela?
Asije akakuponza.

Huyo mke mwingine asikutishe wala nini
Ex ndio kwanza ajira mpya ana mwaka

Mke wake simjui ila nishaanza kumuogopa sijui kabila gani asije nitupia kajini
 
Ex ndio kwanza ajira mpya ana mwaka

Mke wake simjui ila nishaanza kumuogopa sijui kabila gani asije nitupia kajini
Baki kwa huyo 1 wako.
Mpende na umheshimu

X mara Moja Moja sio mbaya 😜
Kujipoozea machungu
 
Unajua kabisa unampenda nani na unataka kuwa naye, na unajua pia maslahi yako wapi, acha kujidanganya, tumia akili kidogo, acha hizo emotions za kitoto
Ninaempenda ana mke ndipo ninapotamani lakini nimeleta humu ili pia nipate ushauri wakati mwingine kuchagua njia yako unaweza kupotoka
 
Back
Top Bottom