- Thread starter
- #61
😂😂😂umejuaje siwezi kabisaaWanawake wengine hawawezi kukaa bila mwanaume, mleta mada ni mmojawapo.
Tokea lini ex akarudiwa
😂😂😂umejuaje siwezi kabisaaWanawake wengine hawawezi kukaa bila mwanaume, mleta mada ni mmojawapo.
Tokea lini ex akarudiwa
Ex wako ana umri gani?Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Dunia imebadilika sana mjukuu wangu, wengi wanatafuta upendo wa kweli wanakosa. Kama huyo uliyenaye anakupatia muda na mahitaji muhimu na kuna future mbeleni, jaribu kutulia.Kwaiyo ningekuwa Nina 30 ungesema nibaki nae???
Mbona mnanidogodesha jmn nimesema nilipokutana nae ndio nilikuwa na 24 now Nina 27Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?
Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.
Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
28Ex wako ana umri gani?
Tatizo mama mijengo wanaturoga na mie naogopaDunia imebadilika sana mjukuu wangu, wengi wanatafuta upendo wa kweli wanakosa. Kama huyo uliyenaye anakupatia muda na mahitaji muhimu na kuna future mbeleni, jaribu kutulia.
kwa hiyo mkuu unamshauri aondoke navyo huwezi jua roho ya mutu pengne anaweza akaondoka navyo then ikamletea madhara mbeleni kama hataki kuishi naye atenane naye tu au ww unaonajeHapo kwenye kumuachia kila kilicho chake ndio kuna utata. Huyo msukuma angekua masikini mbona bi dada angeshasepa bila hata kuaga
X awezi kukupenda anakuharibia maisha tu.Mmmh yeye ananipenda au ananitumia tu
Kweli kabisa maana huyu kaja na speed mpk kunitambulisha kwao na sijakubali kurudianaX awezi kukupenda anakuharibia maisha tu.
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Kwa hiyo mwanaume ni 28, wewe mwanamke ni 27 ??
hasa utaendaje kuishi na mutu humpendi huoni kama ni tatizo lingneUkweli ni kuwa ex simpendi ni vile tu nataka sehemu nikae.. Msukuma nampenda sana Sana sana
Kabila la mke wake sijui.. na huyo mwanamke anaishi mkoa tofauti Ila ni huku huku kanda ya ziwa
Nachokiogopa ni majuto tu sitaki kuja kusumbuliwa na mwanaume baadae au mwanamke wake
😂😂😂😂😂 hilo nalo Kweli maana huyu mubaba kanizidi Miaka karibu 8Kwa hiyo mwanaume ni 28, wewe mwanamke ni 27 ??
Kwa kigezo cha umri pekee hamuendani. Muda si mrefu atakuona ka bibi yake
Nashindwa kuelewahasa utaendaje kuishi na mutu humpendi huoni kama ni tatizo lingne
Akaona una biashara.Kweli kabisa maana huyu kaja na speed mpk kunitambulisha kwao na sijakubali kurudiana
Anataka kuniharubia maisha
HujamboAbee
Hahaha hajui Kama Nina Biashara maana yuko mkoa tofauti kabisaa mbali sanaAkaona una biashara.
Utauliwa bi dada kaa mbali
SijamboHujambo
Muogope 😜Hahaha hajui Kama Nina Biashara maana yuko mkoa tofauti kabisaa mbali sana