Ooh!!sawaWow karibu mimi Niko mbulu
Mtumeee 😳😳Ukewenza ni hatari kwa afya, kimbia UKIMWI utakukuta sasahivi.
Enhee, hiyo tofauti ya umri ndo sahihi. Mwamba anakuwa anakuona dogodogo anakufurahia hata nyege zinakuwa hazikomi😂😂😂😂😂 hilo nalo Kweli maana huyu mubaba kanizidi Miaka karibu 8
Ndio hivyo sasa nikubali kuwa mke mdogo au nisepeEnhee, hiyo tofauti ya umri ndo sahihi. Mwamba anakuwa anakuona dogodogo anakufurahia hata nyege zinakuwa hazikomi
Nando maana nikamshauri amachane na vitu vyake ili akaishi kwa amani hukoKesi yake ngumu kwa kweli. Lakini kabla hajachukuliwa kwao rasmi hakutambulishwa ukweni?
Lakini kama akiamua kuondoka anaweza kutumia hiyo sababu ya kutoambiwa tangu mwanzo na akaeleweka ila sasa ili kusiwe na misunderstandings ni bora aache kila kitu akichofanyiwa na msukuma yaani hiyo biashara aliyofunguliwa na assets zingine akizinunuliwa kama zipo.
Maana hayo makabika ya kanda ya ziwa kukucharaza mapanga ni dakika 0 tu
Wewe mnyirambaNando maana nikamshauri amachane na vitu vyake ili akaishi kwa amani huko
Ila kwa ushauri wangu angekaa tu na msukuma kuwa mke wa pili mbma jambo la kawaida
hapn mimi ni huyo ndugu unayetaka kumkimbiaWewe mnyiramba
Akiuwawa mnakuja kusema Msukuma ni mbayaMfilisi kwanza huyo msukuma halafu nenda kaolewe na ex wako.
Acha mikwaraA
Akiuwawa mnakuja kusema Msukuma ni mbaya
😀😀😀 hilo jina mbona la Wanyirambahapn mimi ni huyo ndugu unayetaka kumkimbia
😄😄 Hao wasukuma sindio walimpiga mtu Risasi baada ya kupiga missed call 47 , so wee mjaze tu mwenzio 😂Acha mikwara
😅😅😅hawanitakii mema wanataka nipigwe risasi kama yule jamaa wa mwanza miaka ya nyuma alieua mke na kujiuaA
Akiuwawa mnakuja kusema Msukuma ni mbaya
😂😂 nakuambia na Mimi nimekumbuka yule jamaa mweu Sana😄😄 Hao wasukuma sindio walimpiga mtu Risasi baada ya kupiga missed call 47 , so wee mjaze tu mwenzio 😂
Imagine 😄😄😅😅😅hawanitakii mema wanataka nipigwe risasi kama yule jamaa wa mwanza miaka ya nyuma alieua mke na kujiua
Sasa jichanganye uone 😂😂😂😂 nakuambia na Mimi nimekumbuka yule jamaa mweu Sana
Huyu alivyompole sidhaniSasa jichanganye uone 😂😂