Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Hii ni One VERY BIG Mistake., kurudi kwa Ex wako ni kujichimbia kaburi lako.

Kwanza umesema Msukuma anakuhudumia vizuri, amekupa mtaji na Biashara inaendelea vizuri, sasa swala la yeye kuwa na Mke wewe limekuathiri wapi hadi sasa? Kitu gani umeona kimepungua kwenye Maisha yenu ambacho kilikuwepo kabla na sasa baada ya kujua hakipo?

Kama umeishi nae miezi 7 na mmekuwa wapenzi tokea 2024 bila kujua ana Mke, wasiwasi wako sasa ni upi?
Je mmefanikiwa kupata mtoto na huyo Msukuma? Umemueleza akakutambulishe kwao amekataa?

Choose wisely.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Sawa
Hatujapata mtoto labda 2028
 
Kama ex yuko sirias na una upendo nae angalau kiduchu, jaribu kutafuta namna ya kumuacha msukuma uende ukaishi maisha utakayokua na amani nayo. Kuriko kuishi maisha ambayo siku zote utakua huelewi umefanya nini.
Sawa boss
 
Ondoka. Nenda ukadange ule maisha we kunguru. Ununue sabufa na sofa na tv na kitanda halafu upake mkorogo uwe mlevi usubiri kufa vibaya mwanaharamu hata wazazi huwahurumii unaishi kwa kudanganya.
🤣🤣🤣ujue nimechelewa kuona baadhi ya comment🤣🤣
 
Mbona mnanidogodesha jmn nimesema nilipokutana nae ndio nilikuwa na 24 now Nina 27

Sasa kuondoka na hivyo vitu vya dukani natokaje na ndio kwanza duka la miezi 4 tu na kila kitu ni yeye kaweka mkono wake kwamba nimtoroke kimyakimya
27 sio mkubwa pia, tunajifunza hata tukiwa na miaka 35+

Kuliko kurudi kwa X ni bora ubaki na huyu msukuma akuoe mke wa pili kama yuko tayari kufuata taratibu.

(tho mimi siwezi olewa mke wa pili labda nikatwe kichwa)
 
😂😂Mimi pia nilikuwa na Mtazamo Kama huo kwanza nilikuwa nakejeri mno kuwa mke wa pili but ndege mjanja….. so ikishindikana kabisa Sina nAmna
 
😂😂Mimi pia nilikuwa na Mtazamo Kama huo kwanza nilikuwa nakejeri mno kuwa mke wa pili but ndege mjanja….. so ikishindikana kabisa Sina nAmna
Inawe heri kwako, ila kwenye uke wenza kuna competition inabidi ujijenge sana kiuchumi, fanya kazi kama kichaa, lea mume, lea watoto.
 
Tatizo kuu la nyie madem ni mind set!!

Kutolewa mahari,kuvishwa Pete,harusi n.k
Unataka vyote hivyo wakati ushapoteza bikra na hapo ulipo unaliwa na wewe unakula halafu unaumizwa na mahari yaani pesa ya kukununua wewe wakati tayari unaliwa!!

Kwanini mnakuza mahari,harusi,cheti cha ndoa,pete na ujinga ujinga mwingi wakati tayari unaiiishi ndoa huku unapata faida za biashara na huduma na wakati bikra ilishaliwa na mchwa!!?

Kwanini usijali faida unazopata badala ya illusion ya mahari na harusi ambazo sio kitu coz kilichopaswa kununuliwa kwako tayari kinaliwa na faida unapata za huduma na biashar JUU!!?

SET YOUR MIND SET!

huo ndio ushauri wangu kwako!!
 
Tatizo sio mimi tatizo huyo mukewe atakubali au ndio kurogwa tu

Nachoogoa ni migogoro haswa ya kurogana maneno siogopiii ila sangoma ndio naogopa
 
nikushauri kitu

uke wenza ni mbaya kuliko unavyoona kwa sasa ni familia chache sana zenye uke wenza zisizo na mauza uza
kama hutateseka wewe..wanao watachezewa si mchezo

kingine wasumuma wanape K kama chakula
mimi nimeolewa na msukuma
sasa wewe ni bora kakwambia
ila hamna hamna tegeme watoto watatu tofauti kwa wamama wengine

anza moja na huyo ex wako
usiangalie alichonacho sasa hivi
ndani ya miaka michache mtasaidiana mtafika mbali

ila kwa huyo msukuma utajuta..
pin hii coment
 
Sawa Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom