Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

We sikia
Hilo zezeta la kisukuma lichune mpaka lifulie,likishafulia njoo kwangu nikuoe baby.
 
Hapo ndipo akili za wanawake ninapozitilia shaka...kuna binamu yangu mmoja nae ilikuwa hivi aliolewa ndoa ya kanisa ila baadae mume akapata mwanamke mwingine ....ila binamu yangu ndie akawa ndie kipaumbele na msimamizizi mkuu kwenye miradi yote ya familia na huyo mke mdogo aliwekwa shambani huko na kinachopatikana binamu yangu ndie ana maamuzi nacho...washauri wakamshauri Naye akajaa kwenye mfumo akaleta mzozo mume akajitahidi kusuluhisha ila akafeli...leo hii binamu yangu anaishi maisha ya kihuni bila shaka usiku akilala huwa anajuta kwa uamuzi wake wakipuuzi....sasa wengine wanaomla ni wanaume za watu
 
Aliacha maisha mazuri kisa mke mwenza? 😂
 
Na leo analiwa na hao waume za watu aisee inashangaza sana..nakumbuka mama alimsema sana kwakuwa mwanaume alitoa hoja zake kuwa wao wanaishi mjini kule Kuna miradi yao na kijijini nako wamewekeza mashamba ya mikorosho,Minazi na michungwa na ufugaji nguruwe na kuku na pesa yote ikipatikana ilikuwa inaenda mjini huyo mke mdogo alikuwa mtiifu mno aisee...ila binamu yangu ujuaji ukazidi leo amepisha mwenyewe
 
Alikosa Hekima..
Alizidiwa kete na mke mwenza. Napenda sana wanawake waelewa ila wajuaji huishi kuumia tu. Wewe unajua fika huduma na kila kitu anatoa mume, then kakupa mamlaka uwe msimamizi mkuu alaf bado tena upande kichwani kisa kaleta mwanamke mwingine...! Hapo lazima akutimue tuu..
 
sisi ndugu hata hatumlaumu huyo mwanaume kwasababu ukweli unaonekana kabisa kwamba yeye ndie kakimbia nyumba kwa hoja za kijinga.... fikiria mtu anaishi shambani anapambana halafu kila kinachopatikana kinapitia mkononi mwako halafu unaona haitoshi
 
Hahahaha tena alipaswa ao e na kujitafakari sana.. Hakujua kuwa yule mwanamke alikuwa anatafuta kumpiku kabisa. Yeye angejiongeza akawa anaenda hata kuzuga tuu kuhakikisha mambo yanaenda sawa mashambani.

Hakuna kilicho chako peke yako humu duniani. Nawaambia watu kila siku tuache wivu na majigambo
 
Hapo ndipo akili za wanawake ninapozitilia shaka...kuna binamu yangu mmoja nae ilikuwa hivi aliolewa ndoa ya kanisa ila baadae mume akapata mwanamke mwingine ....ila binamu yangu ndie akawa ndie kipaumbele na msimamizizi mkuu kwenye miradi yote ya familia na huyo mke mdogo aliwekwa shambani huko na kinachopatikana binamu yangu ndie ana maamuzi nacho...washauri wakamshauri Naye akajaa kwenye mfumo akaleta mzozo mume akajitahidi kusuluhisha ila akafeli...leo hii binamu yangu anaishi maisha ya kihuni bila shaka usiku akilala huwa anajuta kwa uamuzi wake wakipuuzi....sasa wengine wanaomla ni wanaume za watu
Mkuu,kama mtu hataki kuishi uke wenza kwanini umlazimishe??. Mtu akae uke wenza ambaye karidhia, kama hajaridhia kwa moyo wake asilazimishwe. Yaani mtu wamefunga ndoa ya Kanisani halafu kesho kasikia mume kaongeza mke halafu akae kimya tu? Labda kama yeye ni roboti. Ndoa ni jambo la hiari si la kulazimishana, unataka ndoa ya mitara, kubaliana na mkeo toka mwanzo, fungeni ndoa ya kimila ili baadae akija mwingine mke asishtuke. Sasa wewe unajua unapenda mitara unafunga ndoa ya Kanisani ya nini? Na huyo binamu yako alikuwa mzembe,angepata mwanasheria wakumuelekeza vizuri,wangeachana na mumewe kwa amani na haki zake angepata maana kisheria hakuna ndoa juu ya ndoa nyingine ya Kanisani.
 
Filisi ilo duka alilokufungulia alafu utembee zako binti wa miaka 24 unakubalije kizembe ivo kuolewa na mme wa mtu unajua ugumu wa uke wenza kweli?Hakuna raha kama kuwa na mume wako tu na sio uke wenza
-Huu ushauri usiuzingatie hata kidogo.
-Kama umeamuwa kuondoka ondoa kwa amani kabisa.
-ukiolewa mitala si mbaya.
- huko kwa x wako japo hauna kinga ya kupatwa na usiyoyataka.
 
Filisi ilo duka alilokufungulia alafu utembee zako binti wa miaka 24 unakubalije kizembe ivo kuolewa na mme wa mtu unajua ugumu wa uke wenza kweli?Hakuna raha kama kuwa na mume wako tu na sio uke wenza

Mleta mada HANA miaka 24
 
Ila wanawake wa siku hizi, 24 yrs tayari Una Mabwana wawili? Na unataka kurudi kule uliko kuacha Kijana? Kama hapo hapo hata huyo Kijana X wako anataka kukutindua Tu akutupe kule aulize maumivu uliyompa ila ataoa Mwingine.
Ongezea "mwingine wa zamani" zamani ipi binti?😁😁😁. Umewekwa ndani bila wazazi kujua tena kwa muda mrefu, kama jamaa anajielewa ashamfahamu mwanzo mwisho anakaa na mtu wa aina gani na sidhani kama akimuacha jamaa atashtuka.

Kaacha uchague, akae au aende haitamuathiri jamaa.
 
Mkuu,kama mtu hataki kuishi uke wenza kwanini umlazimishe??. Mtu akae uke wenza ambaye karidhia, kama hajaridhia kwa moyo wake asilazimishwe. Yaani mtu wamefunga ndoa ya Kanisani halafu kesho kasikia mume kaongeza mke halafu akae kimya tu? Labda kama yeye ni roboti. Ndoa ni jambo la hiari si la kulazimishana, unataka ndoa ya mitara, kubaliana na mkeo toka mwanzo, fungeni ndoa ya kimila ili baadae akija mwingine mke asishtuke. Sasa wewe unajua unapenda mitara unafunga ndoa ya Kanisani ya nini? Na huyo binamu yako alikuwa mzembe,angepata mwanasheria wakumuelekeza vizuri,wangeachana na mumewe kwa amani na haki zake angepata maana kisheria hakuna ndoa juu ya ndoa nyingine ya Kanisani.
Sawa alifanya maamuzi yake ila leo ninachokuambia ni single mother na anabadilisha wanaume kiufupi kwa mila zetu anahesabika ni muhuni....unaongea kiwepesi kwasababu haujui kuwa huyu binamu alikuta huyo jamaa ana mali...hivi unawajua wanaume wa kimakonde kwenye suala la mali?usiongee vitu kiwepesi
 
Yeye kuamua kuwa single mother au kubadili wanaume ni maamuzi yake, angeweza kutulia na kuendelea na maisha yake au hata kuolewa tena. Halafu suala la kumkuta na mali au kutomkuta na mali sheria haitambui hilo wala sijui wewe ni mmakonde au msukuma. Yeye mwenyewe alikosa mwanasheria wa kumuongoza , ndoa ya Kanisani inatambulika ni ndoa ya mke mmoja na huyo wa pili kisheria ni hawara hatambuliki wala hana haki yoyote. Hizo kesi kama iliyomkuta binamu yako zipo nyingi tu na siku zote zinaamuliwa kwa mwanamke wa ndoa kupata haki yake. Binamu yako mwenyewe hakuwa mjanja au labda hajui sheria kama wanawake wengi hapa Bongo wasivyofahamu sheria linapokuja suala la ndoa.
 
Hapo ndipo akili za wanawake ninapozitilia shaka...kuna binamu yangu mmoja nae ilikuwa hivi aliolewa ndoa ya kanisa ila baadae mume akapata mwanamke mwingine ....ila binamu yangu ndie akawa ndie kipaumbele na msimamizizi mkuu kwenye miradi yote ya familia na huyo mke mdogo aliwekwa shambani huko na kinachopatikana binamu yangu ndie ana maamuzi nacho...washauri wakamshauri Naye akajaa kwenye mfumo akaleta mzozo mume akajitahidi kusuluhisha ila akafeli...leo hii binamu yangu anaishi maisha ya kihuni bila shaka usiku akilala huwa anajuta kwa uamuzi wake wakipuuzi....sasa wengine wanaomla ni wanaume za watu
Sawa nishauri na Mimi
 
Back
Top Bottom