- Thread starter
- #241
Tunaishi mikoa tofautiTulia. Ila usikae boma moja na bi mkubwa, Mwambie mumeo akujengee mji wako kwingine
Tunaishi mikoa tofautiTulia. Ila usikae boma moja na bi mkubwa, Mwambie mumeo akujengee mji wako kwingine
Tumekaa miezi 7 tu na kutaka kuja home ni ye ye huwa anataka ila Mimi nilikuwa bado sijakubaliOngezea "mwingine wa zamani" zamani ipi binti?😁😁😁. Umewekwa ndani bila wazazi kujua tena kwa muda mrefu, kama jamaa anajielewa ashamfahamu mwanzo mwisho anakaa na mtu wa aina gani na sidhani kama akimuacha jamaa atashtuka.
Kaacha uchague, akae au aende haitamuathiri jamaa.
🙄🙄Hata ukishauriwa bado moyo wako umeshafanya maamuzi
🙄🙄Tulia bibie kama anakupa mahitaji kama mke....tulia acha wenge ata mkiwa kumi tulia jenga ngome yko kama mama.
Dah, Kama mpo mikoa tofauti shida ni nini?Tunaishi mikoa tofauti
Pole sana, umeolewa na mume wa mtu bila kujua ni mume wa mtu sio! Pole sana.Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri 🥺🥺
Mwanamke anamwacha Mume wake kwa kisingizio kwamba Ameoa Mke Mwingine, cha ajabu anaenda kudanga na yeye na Waume watu wenye wake zao na mademu kibao. Hapa ndio ujue Mke amemuacha sio sababu ya wewe umeo Bali huyo ni Malaya tuHapo ndipo akili za wanawake ninapozitilia shaka...kuna binamu yangu mmoja nae ilikuwa hivi aliolewa ndoa ya kanisa ila baadae mume akapata mwanamke mwingine ....ila binamu yangu ndie akawa ndie kipaumbele na msimamizizi mkuu kwenye miradi yote ya familia na huyo mke mdogo aliwekwa shambani huko na kinachopatikana binamu yangu ndie ana maamuzi nacho...washauri wakamshauri Naye akajaa kwenye mfumo akaleta mzozo mume akajitahidi kusuluhisha ila akafeli...leo hii binamu yangu anaishi maisha ya kihuni bila shaka usiku akilala huwa anajuta kwa uamuzi wake wakipuuzi....sasa wengine wanaomla ni wanaume za watu
Na utakut anamwacha huyo Tajiri anaenda kudanga na Waume za watu, ambao Wana wake zao na michepuko juu.Pole sana, umeolewa na mume wa mtu bila kujua ni mume wa mtu sio! Pole sana.
Ni wakati wa wewe kukubaliana na hali, na kufanya maamuz ambayo utaishi kwa amani. Husifanye maamuzi kwa hisia ukaja kujudia baadaye.
Mwache aruke rule kama maharage ataenda kuliwa na Bodaboda waliojaa Ukimwi na hela za kuhonga hawana.Tulia bibie kama anakupa mahitaji kama mke....tulia acha wenge ata mkiwa kumi tulia jenga ngome yko kama mama.
Kama unatafuta "ukweli mchungu", basi ni huu:Habari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri 🥺🥺
Yes mkuu, sio lazima akubali kuwa mke wa pili. Wanaokubali mitara wakubali, asiekubali asilazimishwe. Ndoa ni jambo la hiari.Kama unatafuta "ukweli mchungu", basi ni huu:
- Usibaki kwa sababu tu amekufungulia biashara au anakuhudumia vizuri. Hayo ni mambo ya kuzingatia, lakini yasikufanye uvumilie uhusiano ambao msingi wake ulianza kwa udanganyifu.
- Jiulize kama ungekuwa umejua siku ya kwanza kwamba ana miaka 35, ana mke na watoto, ungeingia kwenye uhusiano huo? Kama jibu ni hapana, hiyo ni ishara muhimu.
- Mitala ni chaguo ambalo baadhi ya watu hulikubali kwa misingi ya mila au imani zao. Lakini si lazima nawe ukubali. Una haki ya kusema, "Sikuwa nimekubali kuwa mke wa pili."
Ila huyo jamaa kamdanganya vitu vingi sana, mtu kusema miaka 27 wakati ana 35 hata macho huoni?Kama unatafuta "ukweli mchungu", basi ni huu:
- Usibaki kwa sababu tu amekufungulia biashara au anakuhudumia vizuri. Hayo ni mambo ya kuzingatia, lakini yasikufanye uvumilie uhusiano ambao msingi wake ulianza kwa udanganyifu.
- Jiulize kama ungekuwa umejua siku ya kwanza kwamba ana miaka 35, ana mke na watoto, ungeingia kwenye uhusiano huo? Kama jibu ni hapana, hiyo ni ishara muhimu.
- Mitala ni chaguo ambalo baadhi ya watu hulikubali kwa misingi ya mila au imani zao. Lakini si lazima nawe ukubali. Una haki ya kusema, "Sikuwa nimekubali kuwa mke wa pili."
Mkuu, tatizo hapa si kuwa jamaa alikuwa Msukuma, bali ni kwamba alidanganya kuhusu umri, ndoa yake na mambo mengine muhimu. Hilo linaweza kufanywa na mtu wa kabila lolote. Pia si sahihi kusema hakuna mwanamke "anachomoka" kwa pesa au mali; kila mtu ana sababu na maamuzi yake. Nafikiri tukosoe udanganyifu na ukosefu wa uaminifu, si kuwahukumu watu kwa misingi ya kabila au jinsia.Ila huyo jamaa kamdanganya vitu vingi sana, mtu kusema miaka 27 wakati ana 35 hata macho huoni?
Sema Mshikaji alikuwa Msukuma na kama Demu ana Rangi nyeupe basi alimpaghai kwa pesa na simu nzuri nzuri hapa hakuna Mwanamke anachomokaga
Mbona siku hizi unaongea madini sana 🙄Mkuu, tatizo hapa si kuwa jamaa alikuwa Msukuma, bali ni kwamba alidanganya kuhusu umri, ndoa yake na mambo mengine muhimu. Hilo linaweza kufanywa na mtu wa kabila lolote. Pia si sahihi kusema hakuna mwanamke "anachomoka" kwa pesa au mali; kila mtu ana sababu na maamuzi yake. Nafikiri tukosoe udanganyifu na ukosefu wa uaminifu, si kuwahukumu watu kwa misingi ya kabila au jinsia.
cc ShesRise_1 kwa taarifa
nimetoka kulipwa ujira siku sio nyingi ndio maana nina ka energy ka kutoandika utopolo.Mbona siku hizi unaongea madini sana 🙄
Kunipunguzia aaah 😅nimetoka kulipwa ujira siku sio nyingi ndio maana nina ka energy ka kutoandika utopolo.