Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Leo unadhani wewe ni mke wa pili kesho unashtuka kumbe wewe ni mke wa nne😂😂😂😂,hiyo ilimkuta shosti wangu kwa bwana wake mwenye pesa,mbaya zaidi yeye alizalishwa na mtoto, wanaume wa hivyo huwa hawabadiliki na wanaona hayo wanayofanyia wanawake ni sawa na wana haki kisa wana pesa. Bora usepe uendelee na maisha yako,ila usirudi kwa X, jijenge kwanza kiuchumi mambo ya mapenzi weka sub kwa sasa. Ukibaki kwa huyo msukuma nakuona utakavyolia kama ambulance miaka michache ijayo.
Unadandia mtu tayar anapesa zake ww unadhani huko kote alikopita wakat anatafuta pesa hakukua nawaliokuq wanampa pumziko
 
Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?

Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.

Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Kwenda asubiri mtu mwingine wakati tayari ana mtu anayempenda na anataka kumua na yeye ana amani na huyo mtu. Better akaenda huko kuliko kusubiri mwingine asiyemjua, hiyo ni kamali na odds hazipo rafiki kwake.
 
Kwake kutoa mahari anataka hata kesho lakini hata familia yangu utachukuliaje Hilo suala Kama nitakubali
Binti angalia usije onekana hauna akili, umalaya unakusumbua au tamaa za maisha. Hakuna mzazi mwenye akili timamu akakubali huo ujinga, better ukajifichia upumbavu wako.

kaa chini na Ex wako, anza maisha hapo.
 
Lala mbele mapema kabla huyo mke mwenzio hajaanza kukurushia tunguli za balestiki. Msukuma siyo mnyantuzu mwenye kupenda uke wenza. Atakuroga-leo miguu, kesho tumbo, mgongo, kifua hadi utachakaa. Directed vipigo toka kwa mmeo havitakuisha.

You are too young, tafuta mme wako na wala haifai kwenda kwa x.
 
Relax kadogo kwa msukuma mitala ni jambo la kawaida kabisa na hutopata mateso yoyote maadam anatimiza majukumu yake we take ease kubaliana tu na hali mheshimu mke mkubwa kama hajafuata taratibu za kutoa mahali mwambie afanye hivyo.

Kwa sisi wanaume kuwa na wake wengi ni asili yetu hata kama hatuwatambulishi rasmi kama wake ila papuvhi tunaxipiga kama kawaida na tunatulia maana pia tuna uwezo mkubwa Sana wa kubalance upendo na heshima kwa wake tuna tamaa kiujumla tofauti na wanawake ambao hamjui kutofautisha tamaa na upendo ukidanganywa unapenda unajaa mazima unamsahau na mmeo.

Kwahiyo achana na huyo ex hayo yabaki kama historia tulia fanyeni maisha isitoshe tuna muda mfupi Sana hapa duniani unaweza kwenda kwa ex ukakuta naye anakutamani tu na hana future na wewe haiwezekani kwa muda wote huo asiwe na mtu.

Usukumani suala la wake wengi siyo issue kabisa na wanawake wanaelewana tu kama mtu na mdogo au wadogo zake. Tulia tunza familia usikigawe hicho kipapiro kwa wengine kisa mmeo ana mke mwingine.
 
Kwenda asubiri mtu mwingine wakati tayari ana mtu anayempenda na anataka kumua na yeye ana amani na huyo mtu. Better akaenda huko kuliko kusubiri mwingine asiyemjua, hiyo ni kamali na odds hazipo rafiki kwake.
My situation: Siwezi never kamwe kurudi kwa X, siwezi never kamwe kuolewa uke wenza.

Lakini kwa situation yake, Msukuma amemkosea nini? Zaidi ya kumficha kuwa ana familia? Msukuma ni mwanaume muongo tu anayetaka kumiliki wanawake wawili kwa nguvu ya uongo. Ndio maana amemsaidia ili ajitegemee (atengeneze familia yake) na wasukuma ni kawaida yao kuwa na nyumba zaidi ya moja, hata awe mkristo, wao hujali mila zaidi kuliko dini.

Tunajuaje kuwa X anataka kumuoa kweli? Kikawaida X wanaume lazima wakurudie ndivyo walivyo, na wakirudi neno lao ni hilo hilo “nataka tuyaweke sawa nikuoe “ Hakuna ke hata mmoja kwenye circles yangu ambaye hajarudiwa na X, na ukiwa mjinga kinakuramba upya. Wanaume huwa wanakosa option huko waliko wanarudia magoma yao ya zamani, not out of love, kikawaida wanakuona mjinga, hata akikuoa ataendelea kukuona mjinga (this is my perception)

Sio ngumu kukutana na mtu mpya akaolewa…. x ni chaguo baya zaidi bora abaki na msukuma.

I stand to be corrected.
 
Mkuu, mtu kukuficha kwamba ana familia nyingine ni kosa dogo? Kama msingi wa mapenzi yao ni uongo ili wadumu itabidi waendelee kuishi kiuongo uongo hivyo. What if huyo mwanaume ana wanawake wengine zaidi ya huyu na amemficha pia? Siku akijua wapo wanne/watano/ sita ataweza kumudu? . Mi binafsi mapenzi yanayojengwa kwenye msingi wa uongo hapana kwa kweli. Kuna vitu mtu akikuficha ni sawa, ila mtu kukuficha kama ana familia nyingine hapana kwa kweli.
Bidada anaweza kuendelea na maisha mengine cha muhimu tu asirudi kwa X, X harudiwi.
 
Yani uolewe na mwanaume ana wanawake wengi, uamue kujua na husijue. Au tuseme hakuzingatia kama ni suala la msingi! Unaassume maisha kwenye future!

Back
Top Bottom