Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Ww kweli huna akili timamu na ndio mana huyo msukuma alikugeuza kitombeo mana huna akili za kuwa mke.

Namuonea huruma sana huyo X utakayekwenda kumbebesha hilo shimo hapo katikati ya mapaja, na asipofit kwenye hilo shimo utamlaumu hana nguvu za kiume.

Weka humu 🗑️
 
Ww kweli huna akili timamu na ndio mana huyo msukuma alikugeuza kitombeo mana huna akili za kuwa mke.

Namuonea huruma sana huyo X utakayekwenda kumbebesha hilo shimo hapo katikati ya mapaja, na asioifit kwenye hilo shimo utamlaumu hana nguvu za kiume.

Weka humu 🗑️
Mshukuru Mungu kakupa weww akili timamu akaninyima mimi sawq mkuu
 
Habari za muda humu

Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu

Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha

Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo

Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)

Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma

Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri

Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa

Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea

Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo

Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri 🥺🥺
Kazini kuna kazi
 
Ktk watu ambao hawana utani na Mali zao ni wasukuma hata kikombe alichonunua utakirudisha tu
Yupo mzee mmoja wa Kisukuma kule Mpanda mhhhh! Anakwambia tu kaniletee nyayo na nywele basi. Halafu anachukuliwa kuku au mbuzi anazikwa mzima mzima bila kuchinjwa. Aisee! Hata kama mtu alikununulia chupi utairudisha na msamaha utauomba maana asipokusamehe ni kazi bure.

Kuna celebrity uchwara mmoja alijengewa mjengo wa kuaminika na ngosha mmoja kule Mwanza kumbe lengo lake ilikuwa amtapeli apate nyumba auze arudi kwa kivulana chake Dar. Zali linaanza wanunuzi wakija kuangalia nyumba haionekani. Ikionekana wakiingia ndani viboko vinatembea. Binti alinyosha mikono akarudisha nyumba na kila kitu, akaomba na msamaha huyoo akarudi zake Dar. Ajabu pamoja na uzuri wake hajawahi kuolewa mpaka leo anavuka 45!

Usimtendee ubaya huyo ngosha. Ongea naye tu vizuri na kama ni mwelewa atakuachilia. Ukijifanya kumdhulumu huo mtaji kama ana roho mbaya na ni mtu wa visasi aisee mtafikishana pabaya. Kimsingi yeye ndiye amekukosea na naamini atakuelewa tu.

...and then take this. Hata huyo ex wako hatakuoa huyo. Naye anataka akakutindue tu halafu alale mbele. Nakushauri ukiondoka kwa huyo ngosha take a break. Jipe hata mwaka mmoja utulie tu bila kuwa na mwanaume ili ujaribu kurudi sawa kimwili, kihisia na kisaikolojia. Baada ya hapo kama huyu ex wako kweli ni muoaji mwambie aanze process. Yeye anakufahamu tayari na hana sababu ya kuanza kukutomba tena eti baadaye ndiyo aje akuoe. Ukitoka hapo kwa ngosha please tulia kwanza. Huyo ex mwambie moja kwa moja aende kwa wazazi akatoe mahari na process za ndoa zianze. Ukimruhusu tu aanze kukufak aisee hakuna ndoa hapo. At 24 you are at your prime na ukikosea hapo huko mbele unaweza ukaishia kujuta kama ndoa ni ya muhimu sana katika fomyula ya mafanikio yako maishani!
 
Asante kwa ushauri.. msukuma nampenda mno kumuacha imekua ngumu ila naendelea kujaribu
 
Demu mmempa ushauri wa kipuuzi sana eti bado mtoto anakubali vipi kuolewa uke wenza, guys kwahiyo atakaa na udogo huo hatozeeka ee na huko akienda kwa ex wake akapigwa tukio akimbie kisa mdogo ee, binti kama mmeo anakupenda na ww una mpenda kaa tulia tengeneza maisha basi
 
Sawa
 
Wanawake tafuteni hela zenu ili muweze kujiondoa kwenye situations msizozipenda! Ungekuwa una kazi yako au biashara yako mwenyewe wala usingekuja kuomba ushauri humu! Pole!
 
Sawa japo mke wake ni wa kaskazini
Yeye mwenyewe ndo anakuloga..kuna sehemu niliona mtu alikula hela za msukuma mmoja na huyo baba alimpenda msichana sana...so alipoamua kumuacha mbona alikoma alimtafuta huyo mtu hakumuona na tatizo lake likiwa linazidi yy sasa alipata mp mfululizo...
 
Ex atachapa, atagalagaza,atakulaa vilivyo ataacha.
Haupo kwenye plan zake asee!
Komaa na msukuma wako tu asee.

Ila vipi msukuma wako anajua Matumizi sahihi ya vyoo au kama hawa tu pichani?
IMG-20260720-WA0031(1).jpg
 
Yeye mwenyewe ndo anakuloga..kuna sehemu niliona mtu alikula hela za msukuma mmoja na huyo baba alimpenda msichana sana...so alipoamua kumuacha mbona alikoma alimtafuta huyo mtu hakumuona na tatizo lake likiwa linazidi yy sasa alipata mp mfululizo...
Heee kumbe na wanaume wanaroga wanawake mmh Hii hatari sasa
 
Wanawake tafuteni hela zenu ili muweze kujiondoa kwenye situations msizozipenda! Ungekuwa una kazi yako au biashara yako mwenyewe wala usingekuja kuomba ushauri humu! Pole!
Tunajifariji na hela sijui tukiwa nazo tu move on but mwanamke bila mwanaume haitoshi

Asante
 
Back
Top Bottom