Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Sidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu 😭
Napia anajua vyema namna yakuichapa mbususu
 
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Hii ni One VERY BIG Mistake., kurudi kwa Ex wako ni kujichimbia kaburi lako.

Kwanza umesema Msukuma anakuhudumia vizuri, amekupa mtaji na Biashara inaendelea vizuri, sasa swala la yeye kuwa na Mke wewe limekuathiri wapi hadi sasa? Kitu gani umeona kimepungua kwenye Maisha yenu ambacho kilikuwepo kabla na sasa baada ya kujua hakipo?

Kama umeishi nae miezi 7 na mmekuwa wapenzi tokea 2024 bila kujua ana Mke, wasiwasi wako sasa ni upi?
Je mmefanikiwa kupata mtoto na huyo Msukuma? Umemueleza akakutambulishe kwao amekataa?

Choose wisely.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 
mkiambiwa pambaneni na maisha , achaneni na mapenzi hamtaki"! Haya sasa jipambanie..... bolo linakukosesha usingizi
 
Kama ex yuko sirias na una upendo nae angalau kiduchu, jaribu kutafuta namna ya kumuacha msukuma uende ukaishi maisha utakayokua na amani nayo. Kuriko kuishi maisha ambayo siku zote utakua huelewi umefanya nini.
 
Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?

Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.

Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
 
I admire your wisdom lady which is deeply rooted. Huna papara na mihemuko unapotoa majibu yako. Majibu yako very composed mara nyingi hukubalika na wehu na wenye akili pia.
 
Kiujumla wanawake wengi wao huwa hawajui wanataka nini kwenye haya maisha
 
Nilidhani unawaza zaidi biashara kuliko huyo Mzee.

Biashara unayo una shida gani Tena?

Huyo x anayo Hela?
Asije akakuponza.

Huyo mke mwingine asikutishe wala nini
 
Kama ex yuko sirias na una upendo nae angalau kiduchu, jaribu kutafuta namna ya kumuacha msukuma uende ukaishi maisha utakayokua na amani nayo. Kuriko kuishi maisha ambayo siku zote utakua huelewi umefanya nini.
Bora uishi na mtu anaye kupenda maana atakujali kuliko mtu unaye mpenda sababu haujui hisia zake kazipeleka wapi
 
Kwake kutoa mahari anataka hata kesho lakini hata familia yangu utachukuliaje Hilo suala Kama nitakubali
 
Filisi ilo duka alilokufungulia alafu utembee zako binti wa miaka 24 unakubalije kizembe ivo kuolewa na mme wa mtu unajua ugumu wa uke wenza kweli?Hakuna raha kama kuwa na mume wako tu na sio uke wenza
Sawa lakini sasa ninaenda miaka 27 ikifika October
 
Asante
 
Unajua kabisa unampenda nani na unataka kuwa naye, na unajua pia maslahi yako wapi, acha kujidanganya, tumia akili kidogo, acha hizo emotions za kitoto
 
Mmwagie maji ya moto ya usoni akilala usiku halafu kimbia nchi.

Mtoto mbichi hivyo unakubali vipi kuolewa matala πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Nisubiri nidode ndio niolewe mitala ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…