kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 994
Habari zenu bwana mko salama ?
Nimewapa taarifa nafurahia sana
Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu
Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize
Upsala University
Karibuni.
Itafanyika Bukoba TANZANIA
www.jamiiforums.com
Mungu mwema
Nimewapa taarifa nafurahia sana
Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu
Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize
Upsala University
Karibuni.
Itafanyika Bukoba TANZANIA
Hatua nilizopitia mpaka kufika Ukraine, na bado niko njiani kwenda nchi ya ahadi Norway
Hello wakuu habari za siku mbili tatu, Jamani mimi ni kijana Mtanzania ambaye nimekulia Tanzania, nimesomea shule zote Tanzania mpaka elimu ya chuo kikuu. Kwa bahati mbaya sikumaliza mwaka wangu wa mwishoni wa chuo kikuu kutokana na tatizo la ada maana mimi ni miongoni mwa vijana ambao...
Mungu mwema