Hakuna Kitu humo inashindwa uzuri wa ndani na StarletSifa kubwa ya rumion ni uzuri wa ndani kwasabb ina space kama uwanja WA taifa pia ina mziki mmoja matata Sana.
Hata cluster yake ni digital mode sasa ukija Kwenye kiyoyozi haina tofauti na Russia yaaani ni full barafu ndani
Uko Kama Mimi mkuuYes. ninaelewa hayo yete mkuu ila linapokuja suala la gari kuwa na dashboard katikati mithili ya tractor au pikipiki, mimi naishiwa hamu kabisaa...
Magari yafuatayo siyaapendi hata kidogo kisa tu yana dash katikati..
IST, Vitz zote,Rumion,Sienta, Platz,Raumu,Prius na Nissan X Trail First generation..
Halafu toyota anaonekana ni legendary wa kuzalisha magari yenye dashboard kati kati...
Nachukia sijui kwa nini...
Kwa upande wa SUV's za kijapan hawa Toyota wanaongoza hasa Kwenye upande wa engine Ila Kwenye mambo ya comfortability nissan nao wako vizuri Sana....Gari za Toyota zinazo kuja Huku si za Serikali na mashirika? Kama wapo wachache sana wanaoenda na Design za kisasa na kununua Gari mpya za Toyota.
Ukipitia website yao kwenye luxury car land cruiser ndio ipo sana huku Sababu ya mashirika ila nyingi hazipo
Prius, avalon, mirai, sequoia sijawahi kuziona.Toyota Premium Cars | Toyota.com
Whether you’re looking for standout design, impressive performance, cutting edge tech, comfortable interiors, or all of the above, these Toyota premium car models offer something for those looking for a premium driving experience.www.toyota.com
Mkuu ebu tutake radhi Bana yaani BB inafanana na rumion?
Sikuhizi wajanja WA mjini wapo Kwenye nissan na Subaru tumebakia Sisi waoga na Magari ya ToyotaVery true...na Nissan haizingui kabisa kama unafata procedure zote za service
Toyota daily wanashinda garage[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Si unaona picha hapo boss. Kwani bb ni mbaya sana haina hadhi....Mkuu ebu tutake radhi Bana yaani BB inafanana na rumion?
Gari langu la kwanza lilikuwa Toyota, but since nimekuja Nissan sijajutiaSikuhizi wajanja WA mjini wapo Kwenye nissan na Subaru tumebakia Sisi waoga na Magari ya Toyota
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] hiyo mitatu bado napumua, huoni nakaza nashindia maji na mihogo ya mia miaTwin wewe mtu mkubwa mimi miaka mitatu kila nikipiga hesabu sioni kabisa nikiiweka mkononi Fortuner[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema BMW X6 tamu bwana tuache utani, ukinunua unipe lift nipate baraka kidogo[emoji1]
Hivi engine, gearbox havisumbui eeh kwenye ToyotaKwa upande wa SUV's za kijapan hawa Toyota wanaongoza hasa Kwenye upande wa engine Ila Kwenye mambo ya comfortability nissan nao wako vizuri Sana....
Toyota Prius na Avalon zipo sikuhizi hapa Tanzania Ila Kwa wahindi
Kapande Bombardier za magufuliNasubiri magari ya kupaa tu
Zimekuwa za Samia Sasa hiviKapande Bombardier za magufuli
Ingawa kuna baadhi ya code Fulani za engine zina shida Ila Kwa asilimia kubwa Toyota anaongoza kwa ubora wa engine na gear box pia hata utengenezaji wake hata fundi ya chini ya mwembe anatengeneza.....Hivi engine, gearbox havisumbui eeh kwenye Toyota
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Are you serious?Kioo kipo kati na mbele ni katikati sisi hatuoni tatizo,Tatizo ni pale unagari kubwa halafu rumioni inakupita na mjini mafuta wako.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mkuu..ile IST mpya naipenda...Pia X trai mpya..Ist ile mpya haina dashboard kati, ila hata mie nachukia sana dashboard kuwa kati, halafu sina sababu , i hate rumion kwa sababu hizo hizo pia
Ndiyo mkuuIst ile mpya haina dashboard kati, ila hata mie nachukia sana dashboard kuwa kati, halafu sina sababu , i hate rumion kwa sababu hizo hizo pia
Unataka kutuambia raha ya hii ndinga inazidi ile ya mgegedo..[emoji23][emoji23]Mi napenda BMW X6 ....
Asee hilo ndinga naomba Mungu bariki after 3 yrs from now niwe nimeimiliki hata kama imepitwa na wakati[emoji848]
Kuna raia wa nje hapa job ( mswedish) analimiliki mpyaa, sasa tukawa marafiki, ( nilikuwa namfundisha kuzijua barabara za kibongo ) Kuna siku nikamuomba anipe nidrive nipate baraka ya kulimiki! Akaniazima siku ya jumapili asubuhi ila asubuhi j3 ofisini chap nihakikishe nimelipaki atalikuta[emoji122][emoji122][emoji122]
(Wazungu sijui gari wanaona kitu gani yaan just normal sio kama wabongo)
Asee Twin, sijawahi kupata raha kama niliyoipata siku hiyo, yaan niliona kama napaa mbinguni[emoji1787][emoji1787]
Lile gari ni tamu jamani afuu, muziki wake sasa mamaaaa nilihisi malaika kanibeba ananipaisha mbinguni bila kuonja kifoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So twin niombee niubebe huu mndinga[emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna model zinasumbua, kuna nyingine zinasumbua kiasi...uzuri spea ni nyingi za bei rahisi...Hivi engine, gearbox havisumbui eeh kwenye Toyota
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app