Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

Nissan 2021 Vs Toyota 2021 Jamaa wamefikia Tamati katika Ubunifu

Sifa kubwa ya rumion ni uzuri wa ndani kwasabb ina space kama uwanja WA taifa pia ina mziki mmoja matata Sana.
Hata cluster yake ni digital mode sasa ukija Kwenye kiyoyozi haina tofauti na Russia yaaani ni full barafu ndani
Hakuna Kitu humo inashindwa uzuri wa ndani na Starlet
 
Yes. ninaelewa hayo yete mkuu ila linapokuja suala la gari kuwa na dashboard katikati mithili ya tractor au pikipiki, mimi naishiwa hamu kabisaa...

Magari yafuatayo siyaapendi hata kidogo kisa tu yana dash katikati..
IST, Vitz zote,Rumion,Sienta, Platz,Raumu,Prius na Nissan X Trail First generation..

Halafu toyota anaonekana ni legendary wa kuzalisha magari yenye dashboard kati kati...

Nachukia sijui kwa nini...
Uko Kama Mimi mkuu
 
Gari za Toyota zinazo kuja Huku si za Serikali na mashirika? Kama wapo wachache sana wanaoenda na Design za kisasa na kununua Gari mpya za Toyota.

Ukipitia website yao kwenye luxury car land cruiser ndio ipo sana huku Sababu ya mashirika ila nyingi hazipo

Prius, avalon, mirai, sequoia sijawahi kuziona.
Kwa upande wa SUV's za kijapan hawa Toyota wanaongoza hasa Kwenye upande wa engine Ila Kwenye mambo ya comfortability nissan nao wako vizuri Sana....
Toyota Prius na Avalon zipo sikuhizi hapa Tanzania Ila Kwa wahindi
 
Twin wewe mtu mkubwa mimi miaka mitatu kila nikipiga hesabu sioni kabisa nikiiweka mkononi Fortuner[emoji23][emoji23][emoji23]


Sema BMW X6 tamu bwana tuache utani, ukinunua unipe lift nipate baraka kidogo[emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] hiyo mitatu bado napumua, huoni nakaza nashindia maji na mihogo ya mia mia

Twin lazima nikupe upate baraka zote za umiliki wa Fortuner nzuri sana nayo hii ndinga

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi engine, gearbox havisumbui eeh kwenye Toyota

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ingawa kuna baadhi ya code Fulani za engine zina shida Ila Kwa asilimia kubwa Toyota anaongoza kwa ubora wa engine na gear box pia hata utengenezaji wake hata fundi ya chini ya mwembe anatengeneza.....
Kwa mfano kama unataka kubadilisha plug Kwenye gari za Toyota utachukua DK 20 Tu tofauti na Subaru itakulazimu zaidi ya saa nzima kutokana na mfumo wa engine
 
Labda ubunifu umeisha kwa sasa lakini sio kwa siku za usoni kwani watu bado wanazaliwa na evolution inaendelea!
 
Kioo kipo kati na mbele ni katikati sisi hatuoni tatizo,Tatizo ni pale unagari kubwa halafu rumioni inakupita na mjini mafuta wako.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Are you serious?
Yaani kabisa mtu yupo na Brevis, Mark X, Crown au Fuga umletee mbwembwe na Rumion? Kweli?
Tatizo mkiona mtu yupo zake 110kph, mkimpita mnadhani naye yupo kwenye ligi.
 
Ist ile mpya haina dashboard kati, ila hata mie nachukia sana dashboard kuwa kati, halafu sina sababu , i hate rumion kwa sababu hizo hizo pia
Ndiyo mkuu..ile IST mpya naipenda...Pia X trai mpya..

ila hizo UBBER nyingine zilizobaki, kwangu naona ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] tu....Yaani sina ladha kabisa ya hizo gari
 
Mi napenda BMW X6 ....

Asee hilo ndinga naomba Mungu bariki after 3 yrs from now niwe nimeimiliki hata kama imepitwa na wakati[emoji848]

Kuna raia wa nje hapa job ( mswedish) analimiliki mpyaa, sasa tukawa marafiki, ( nilikuwa namfundisha kuzijua barabara za kibongo ) Kuna siku nikamuomba anipe nidrive nipate baraka ya kulimiki! Akaniazima siku ya jumapili asubuhi ila asubuhi j3 ofisini chap nihakikishe nimelipaki atalikuta[emoji122][emoji122][emoji122]

(Wazungu sijui gari wanaona kitu gani yaan just normal sio kama wabongo)


Asee Twin, sijawahi kupata raha kama niliyoipata siku hiyo, yaan niliona kama napaa mbinguni[emoji1787][emoji1787]
Lile gari ni tamu jamani afuu, muziki wake sasa mamaaaa nilihisi malaika kanibeba ananipaisha mbinguni bila kuonja kifoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


So twin niombee niubebe huu mndinga[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unataka kutuambia raha ya hii ndinga inazidi ile ya mgegedo..[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom