and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nina Range RoverUnayo bro au kuitumia?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Range RoverUnayo bro au kuitumia?!
jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.
Tatizo lake kubwa hasa ni expensive kuimaintain...kuanzia spares, kufanya service. Ni pasua kichwa sana aisee ukiwa careless na hii gari. Inataka kubembelezwa, haitaki violence kabisa
Nadhani unajipa moyo mkuu kwa kuwa unaitumia.. 15Km/l kwenye Hizi 1st generation 06' mpk 13' haina ukweli.Best it can return ni 11km/l tena ikiwa na service record nzuri.Hiyo labda kama haipo vema iliyovema inakupa 1litre = 13.5 hadi 15 km
Ndio maana. Sasa mbona unaongelea gari ambayo hautumii?!Nina Range Rover
Kwahiyo mafuta niweke mwenyewe, gari nitumie mwenyewe, halafu ninachokiona kiwe sicho ninachosema......Nadhani unajipa moyo mkuu kwa kuwa unaitumia.. 15Km/l kwenye Hizi 1st generation 06' mpk 13' haina ukweli.Best it can return ni 11km/l tena ikiwa na service record nzuri.
XTrail, RAV4, Harrier, Dualis zote ni Crossover SUVs. Prado ni midsize SUV. Full Size unaongelea LC200, Escalade, Navigator, Patrol Y62?.Mbona una compare vitu havifanani? X trail ni mini suv na prado ni SUV kamili. X trail labda na Harrier. Pia huwezi compare Dualis na Rav 4 ni gari tofauti sana
Vipi kwemye matumizi ya mafutaHii gari kama we ni dereva ni gari nzuri ipo stable sana
nunua Kaka huoni zilivyo nyingi mtaani, ondoa mashakaHabarini wana jamvi, hivi hii gari Nissan Dualis ya kuanzia 2007 mpaka 2010, ni gari imara? Je inaweza kustahimili mikiki mikiki ya barabara zetu za mashimo? Ulaji wa mafuta umekaaje?
Nahitaji mawazo yenu kabla sijafanya maamuzi ya kununua. View attachment 2216898
Anajichanga aanze kwanza na Baiskeli!Unayo bro au kuitumia?!
Hiyo labda kama haipo vema iliyovema inakupa 1litre = 13.5 hadi 15 km
Umetazama sasa mwaka wa hiyo gari unayoongelea. Maana Dualis ninayosemea mimi ni ya mwaka 2008/9Gari lenye cc 2,000 na tenki lenye ukubwa wa lita 65 inataka kushindana kwenye matumizi ya msfuta na gari kama IST zenye cc 1,300 - 1,500 zenye tenki la mafuta zenye ujazo wa mafuta lita 45.
View attachment 2223757
View attachment 2223758
View attachment 2223759
Umetazama sasa mwaka wa hiyo gari unayoongelea. Maana Dualis ninayosemea mimi ni ya mwaka 2008/9
Sent using Jamii Forums mobile app
Me hainipi hiyo consumption. Me ni juu ya hapo. Lita moja navuka km13 kwa wastani na huwa inazidi nikiwa free way. Labda tunatofautiana namna ya kuaccerelate na uchocheaji wa mafuta.