Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.

Gari ipo vizuri kwenye performance na comfortability na pia kwenye mafuta (sema inategemea na uendeshaji wako), na ni kweli spares zake zina bei, ila ukishafunga unasahau. Kitu muhimu ni kufuata services.

Ugonjwa wake mkubwa ni vitambaa vya kwenye paa na milango kutoka, ila ukipata fundi mzuri anabadilisha.
 
Tatizo lake kubwa hasa ni expensive kuimaintain...kuanzia spares, kufanya service. Ni pasua kichwa sana aisee ukiwa careless na hii gari. Inataka kubembelezwa, haitaki violence kabisa

Gharama zake za services ni za kawaida na kwa sasa mafundi wengi wana uzoefu nazo na zipo nyingi mjini, inafanya spares zake kupatikana isiwe ngumu.
 
Hiyo labda kama haipo vema iliyovema inakupa 1litre = 13.5 hadi 15 km
Nadhani unajipa moyo mkuu kwa kuwa unaitumia.. 15Km/l kwenye Hizi 1st generation 06' mpk 13' haina ukweli.Best it can return ni 11km/l tena ikiwa na service record nzuri.
 
Nadhani unajipa moyo mkuu kwa kuwa unaitumia.. 15Km/l kwenye Hizi 1st generation 06' mpk 13' haina ukweli.Best it can return ni 11km/l tena ikiwa na service record nzuri.
Kwahiyo mafuta niweke mwenyewe, gari nitumie mwenyewe, halafu ninachokiona kiwe sicho ninachosema......

Ninatumia hiyo gari na mafuta ndio yanakwwenda hivyo best.
 
Mbona una compare vitu havifanani? X trail ni mini suv na prado ni SUV kamili. X trail labda na Harrier. Pia huwezi compare Dualis na Rav 4 ni gari tofauti sana
XTrail, RAV4, Harrier, Dualis zote ni Crossover SUVs. Prado ni midsize SUV. Full Size unaongelea LC200, Escalade, Navigator, Patrol Y62?.
 
Habarini wana jamvi, hivi hii gari Nissan Dualis ya kuanzia 2007 mpaka 2010, ni gari imara? Je inaweza kustahimili mikiki mikiki ya barabara zetu za mashimo? Ulaji wa mafuta umekaaje?

Nahitaji mawazo yenu kabla sijafanya maamuzi ya kununua.
images.jpg
 
Kuna nyuzi kadhaa zimefafanua gari hii, jaribu kizitafuta ujisomee watu wana hasira na mafuta watakuwa wanakupita tu.
 
Gari haitaji shida hio, kama unakaa kwenye mashimo mashimo sio sehemu yake kama unakaa full lami au barabara nzuri utaenjoy. Gari inataka kubembelezwa kama demu
 
Habarini wana jamvi, hivi hii gari Nissan Dualis ya kuanzia 2007 mpaka 2010, ni gari imara? Je inaweza kustahimili mikiki mikiki ya barabara zetu za mashimo? Ulaji wa mafuta umekaaje?

Nahitaji mawazo yenu kabla sijafanya maamuzi ya kununua. View attachment 2216898
nunua Kaka huoni zilivyo nyingi mtaani, ondoa mashaka
 
Hiyo labda kama haipo vema iliyovema inakupa 1litre = 13.5 hadi 15 km

Gari lenye cc 2,000 na tenki lenye ukubwa wa lita 65 inataka kushindana kwenye matumizi ya msfuta na gari kama IST zenye cc 1,300 - 1,500 zenye tenki la mafuta zenye ujazo wa mafuta lita 45.

IMG-20220514-WA0004.jpg

IMG-20220514-WA0005.jpg

IMG-20220514-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom