Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Bro umesema safi sanaa.
Watu kama nyie ndo tuna wahitaji humu.

Mi ndo gari yangu,Sijalala mpaka sasa hivi hapa tangu niione ile ilio waka moto.
Maana nimenunua na week 2 tu.
Na mkopo wenyewe una riba ndefu.

Yaani ni stupid things.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Polee bro umenifanya nicheke
 
Bro umesema safi sanaa.
Watu kama nyie ndo tuna wahitaji humu.

Mi ndo gari yangu,Sijalala mpaka sasa hivi hapa tangu niione ile ilio waka moto.
Maana nimenunua na week 2 tu.
Na mkopo wenyewe una riba ndefu.

Yaani ni stupid things.
Usijali ndugu, m niliona kuna jamaa ana namba B na inatembea na haija ungua, sio zote zinazoungua ila zinachangamoto sana kwenye gearbox na hazitaki kabisa rough road, utabadili sna mabush ya kifua yapo manne na bei yake kuanzia laki na nu hadi laki mbili bado fundi hapo hyo ni service ndogo tu ila angalia gharama yake na bado kuna mabush mengine hapo sijayataja. Kwa hela hiyo kwa toyota utafanya service kubwa sana.

Hivyo kuwa makini sana kwenye kuitumia, haitaki uendeshaji wa hovyo hovyo, utaitaja majina yake mawili kwa usahihi.

Mbaya zaidi hata useme uiuze leo ambapo ina wiki mbili itakukata hata milion 2 au 3.
 
Aiseee sasa kama gari inaweza kuwaka yenyewe si balaa hii mkuu!!!!
Sometimes zinatoka Kiwandani zikiwa na matatizo. Kwenye nchi za Wenzetu kwa kuwa kuna kuwa na mawakala na Gereji zilizopewa Uwakala na Nissan Wenyewe wanapelekeana Taharifa mbalimbali kama kuna tatizo limegundulika na pia jinsi ya kusolve hilo Tatizo. Huku kwetu ata kile kitabu kinachokuja na Gari atuna muda nacho kukisoma! Tunaendesha magari na kuyafanyia Services kufuata mkumbo na mazoea. Angalia hapa uone Wenyewe Nissan wanasemaje juu ya Services za Magari yao: Nissan Service Intervals | Auto Repair & Maintenance | Rio Rancho, NM
 

Ngoja nisome nipate elimu kidogo
 
Mkuu hapo kwenye 30000 na 50000 nafikiri oil isingekuwa biashara huku mitaani,by the way unatumia oil gani ya km 30000?
Kuna mtu alitembea gearbox oil kwa 80,000Km ilikuwa ni Toyota fielder.

Gearbox ilikufa baada ya kupasua sump na kumwaga Oil then huko porini alikokuwa mafundi wakamuwekea Oil za 7000.

Lakini Oil kidogo iliyokuwa imebakia kwenye Sump ilikuwa bado Oil nzuri tu.

we unashangakaa 30k au 50k km?
 
Toyota ataendelea kutamba Tu Kwa Sisi wabongo
 
Tumia Head rest kuvunja kioo cha gari.
 
Mshaanza mafundi maiko.
Teknolojia muwezi mnaaishia Kubahatisha tu. Kuna fundi kakorofisha Alphad mpaka ijitambui nikiwasha inafungua vioo.
Kesho namdamkia tumalizane hajui uchungu wa kununua gari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kioo cha gari kimetengenezwa kwa namna ambayo ni rahisi kukivunja ukiwa ndani kuliko ukiwa nje.

Ni rahisi tu, Chomoa Head rest gonga kwenye edges kioo chote kinashuka. Hamna ugumu wowote.
 
Asante sana mkuu.

Kwa hyo unashauri nianzie kujifunzia kwny hz garage za mtaan!??? Mana mafundi wengi wa mtaan ukiwafata wanakuzungushaaa mwishowe utaacha mwenyewe kuwapigia.

Naweza kujifunza u tube lakn practical ni muhimu zaidi.
 
Kweli ww ni new generation. Mule mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…