Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

Kiswahili cha huko kwenu mlikokimbia machafuko, Watanzania hatuko hivyo unavyofikilia. Unaichoma Serikali ili iweje au huelewi kama Serikali na wew ni sehemu yake. Kwa maana hiyo unataka kuivuluga Serikali isihudumie Wananchi iwe inaugulia maumivu, sasa wewe Mughabho wa Jirani hujioni kama utakosa Pengine pa kukimbilia.
Wewe na Zitto acha kutafuta Kiki za ovyo.
 
Mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wa kushinda haki? Mahakama za nje sio hizi zinazotii amri toka juu. Serikali yetu ingeshinda kesi ingejisifia vibaya sana. Mzungu kavuta chake tena ni cash.
Mkuu na wewe umepata nini kama ni hivyo?
 
Nani wa kushinda haki? Mahakama za nje sio hizi zinazotii amri toka juu. Serikali yetu ingeshinda kesi ingejisifia vibaya sana. Mzungu kavuta chake tena ni cash.
Sasa kumbe unakisia tu... Sawa
 

Ila usishushe zigo la haja kubwa kambini.
 

Dawa ya muhani ni kitanzi au risasi. Unapokula kiapo hutakiwi kwa vyovyote vile kuvujisha siri za offisi.

You did wrong! fikiria mtu unamuamini alafu huku anakuhujumu utafanyaje.

Serikali iachwe na mipango yake na maendeleo yake na wanaoipinga wafuta njia zao. sio kwa mpumbavu wewe kujitapa kwamba unavujisha siri. shame.

Serikali iwe huru na wapinzani wawe huru na sio kuhujumiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…