Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

Hatujakimisha kununua ndege, pia Vi eitee nyingi zimechoka, tunatakiwa kununua mpya kabisa tulia kijana, endelea kunywa mtori....
 
kuna kipindi fulani cha kampeni uko nyuma kuna chama fulani kilikuja na ajenda yao sera ya majimbo mie kiukweli kabisa naiona ile ilikuwa ni sera nzuri sana,nionavyo mimi lakini
 
Hela zikafanyie mambo ya msingi! Tunaitaji barabara ya Lami huku Maji Chumvi iunge mpaka kimanga then bima!
Tunahitaji ingine ipande kwenda migombani mpaka Segerea hizo billion 50 zingemaliza kabisa hayo maeneo mawili!
Hiyo ya maji chumvi hadi Kimanga ni muhimu sana, nadhani mavuno ya mwezi wa 10 mengine tutagawa huko 🀝🀝🀝
 
 
Mikoani Kuna sehem kibao hakuna barabara ya lami hizo flyover unazotaka zijazwe daslam inamaana hizo tozo huwa zinakusanywa daslam tu
Lami za mikoani si zinajengwa kwa kutumia tozo mpya ya mafuta au? Hii ni tozo ya miamala ninayozungumzia
 
Huku Mbeya tunamsongamano wa magari,, ni shida mzilete huku
 
Unaropoka na kujitungia maneno ambayo Waziri hajayasema.Uzuri wa nyie majitu ya Mjini hakuna mnachojua kwa sababu mko karibu na huduma za jamii na mnadhani kila mahala kuko kama mjini.Huu ushauri ukimpa baba yako atakushukuru.

Serikali inaenda kutumia pesa yote hadi desemba kujenga madarasa na kununua madawati.

Baada ya hapo wanarudi kwenye Vituo vya afya maana fedha walizotoa ni za awali kujenga maboma 3 kwenye kila kituo cha afya takribani vituo 220.

Kituo cha afya kikiwa fully ni majengo minimum 7 hapo bado kununua dawa,vitenganishi,kuajiri wataalamu nk.Kiufupi hadi kituo cha afya kiwe operational vizuri inatakiwa bil.1.5
 
Hahah, haya ni maoni yangu, sijasema waziri kaongea. Anyway, baada ya Desemba? Mnaenda kujenga zahanati na Burundi au?
 
Tanzania sio Dar tu,Pesa ziende maeneo mengine kuboresha maisha ya Watanzania wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…