FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Barabara ya kupitisha viongozi ile[emoji23][emoji23][emoji23]Barabara ya nyerere road inapendelewa.
Ndio ya kwanza kujengewa fly over dar pale tazara.. na haijapita hata muda imeanza kujengewa fly over ya pili mataa ya veta. Huku bara bara zingine kubwa kibao hazina fly over hata moja.
Tozo za mwezi Septemba hivi zimeelekezwa kwenye mradi upi?Barabara ya kupitisha viongozi ile[emoji23][emoji23][emoji23]
Panazingua sana aisee! Yani cheni ni kubwaKweli, na zinazofuata hapo zikejenge flyover pale mataa ya Tabata, panakera sana ! πππ
Chattle kumuenzi mheshimiwaUnapendekeza tozo ya Septemba ikajenge flyover wapi? Toa ushauri
Ila sasa, Tozo ya mwezi Septemba imeelekezwa wapi? Mbona hatupewi mrejesho kama tuliopewa August?!mwez dec nashauri zianze ujenzi wa daraja dar to zanzibar.......
Wataalam ndio kazi yao hiyo, patajengwa hapo bila shida yeyote. Ila je, tozo ya mwezi Septemba imeelekezwa wapi?Sasa mkijenga flyover moroco si mtabomoa sheli,mtabomoa power station ile ya tanesco
Mtaimega NHC pia !!!au
Ova
Uchumi wa nchi unakuzwa na uchumi wa wananchi kupitia uzalishaji. Tozo ni kuongeza pesa hazina kwa kuwanyang'anya wananchi. Ni sawa na mjinga mmoja kuhamisha pesa mfuko wa pili na kuziweka mfuko mmoja na kuwatambia majuha wenzake kuwa ametajirika mpaka mfuko umetuna.Pongezi kwa Watanzania wote kwa kazi nzuri ya tozo zaidi ya bilioni 48
Pongezi za dhati kwa watanzania wenzangu kwa kazi nzuri ya kizalendo tuliyo ifanya kwa kipindi cha mwezi 1 na nusu tumechangia kiasi cha zaidi ya bilioni 48 kupitia tozo za miamala. na tayari fedha hizo zimesha elekezwa kwenye maeneo mbalimbali ya maendeleo. Hakika kwa tozo hii kama tutaenda...www.jamiiforums.com
πππ, mimi nataka kujua, tozo ya Septemba imeelekezwa wapi?Uchumi wa nchi unakuzwa na uchumi wa wananchi kupitia uzalishaji. Tozo ni kuongeza pesa hazina kwa kuwanyang'anya wananchi. Ni sawa na mjinga mmoja kuhamisha pesa mfuko wa pili na kuziweka mfuko mmoja na kuwatambia majuha wenzake kuwa ametajirika mpaka mfuko umetuna.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app