FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #81
Tozo ya Septemba, wameelekeza kwenye mradi upi?Kuna Mambo mengi ya msingi ya kufanya:-
1.Maji
2.Elimu
3.Madawa
4.Barabara zipitike kwa muda wote mijini na vijijini /karabati/madaraja
5.Umeme
Tozo ya Septemba, wameelekeza kwenye mradi upi?
Mwezi August tulielezwa kiasi cha tozo kilichokusanya na namna kilivyotumika, Je, mwezi wa 9 wamekusanya tozo kiasi gani? Na wameelekeza kwenye mradi upi?September hakuna haja ya kutumia tozo ,tumekusanya matrioni 1.9T
Ya September wameielekeza kwenye mradi upi?Ya safari hii IKAJENGE BARABARA YA KONGWA - MPWAPWA tunaumia viwino na migongo wenzenu.Mtuonee huruma jamaniiii
Tozo iliyoongezwa kwenye mafuta ndio imeoangiwa barabara za vijijini. Ila je, tozo ya Septemba ya miamala ya simu, imeelekezwa kwenye mradi upi?Nipo kakonko mkoa wa kigoma vijijini huku nimepota maeneo ya malenga,bukiriro, katanga,mgunzu hadi mabamba kulipo na boarder ya burundi barabara ni mbovu sana, napendekeza hzo pesa zingekarabati barabara ya vijijini hali ni mbaya sana
We bogus kweli, kwani wanaogiza magari kwa USD na kuuza kwa Tanzania shillings huwa wanafanyaje? Aisee mataahira mtaisha lini?!Huwezi kujenga flyover kwa tozo, kumbuka tozo ni TZS na ujenzi wa flyover unahitaji mkandarasi toka nje ya nchi ambaye hutamlipa TZS utalipa dolari au Euro. Tozo zikajenge madarasa ambayo tunatumia mafundi wa ndani au kujenga barabara za viwango vya mafundi wa ndani. Hivi mkisikia mama anasema huwezi jenga sgr kwa tozo hamuelewi? Ni lazima akope maana huko ndio anapata pesa ya kigeni. Bila kuongeza mauzo yetu nje ya nchi, hatuwezi kamwe kufanya vitu vya muujiza, huwezi mlipa mturuki pesa ya TZS ataipeleka wapi hiyo hela?
Dah.. Aisee..Huwezi kujenga flyover kwa tozo, kumbuka tozo ni TZS na ujenzi wa flyover unahitaji mkandarasi toka nje ya nchi ambaye hutamlipa TZS utalipa dolari au Euro. Tozo zikajenge madarasa ambayo tunatumia mafundi wa ndani au kujenga barabara za viwango vya mafundi wa ndani. Hivi mkisikia mama anasema huwezi jenga sgr kwa tozo hamuelewi? Ni lazima akope maana huko ndio anapata pesa ya kigeni. Bila kuongeza mauzo yetu nje ya nchi, hatuwezi kamwe kufanya vitu vya muujiza, huwezi mlipa mturuki pesa ya TZS ataipeleka wapi hiyo hela?