Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active

Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea

Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
  • Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
  • Interest rate ya mikopo kuwa juu
  • Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja

Faida ya watu zaidi million 40 kuwa na account ambazo zipo active hili ni swali ambalo utauliza
  • Kuongeza wigo wa income tax
  • Kuwa na wepesi-kuimplement monetary policy
  • Kufacilitate ukuaji wa online marketing na kuongeza wigo wa kodi

Utamshawishi vipi mtu awe na account bank wakati kipato chake ni hand to mouth ,ataweka nini huko kwenye account. ?
Ulichosema ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa formal sector

Ntahakikisha kunakuwa na wigo mpana wa formal sector na automatic informal sector zitaondoka

Swali unaloweza kuuliza ntaongezaje wigo wa formal sector jibu ni kuwekeza kwa watu direct kwenye maeneo matatu kwa haraka
  • Michezo
  • Kilimo cha umwagiliaji
  • Smelter na refining
Multiplier effects ya hayo maeneo matatu yataongeza wigo wa formal sector direct na indirect na taratibu kuondoa informal sector
 
Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active

Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea

Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
  • Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
  • Interest rate ya mikopo kuwa juu
  • Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja

View attachment 3371244
Hakuna hela
 
Niwe mkweli BWANA DENIS SIJAWAHI KUKUELEWAGA HATA SIKU MOJA KWENYE THREAD ZAKO I'm real sorry kama utajiskia vibaya ila huko ndo ukweli wangu
Siwez jisikia vibaya sababu nyuzi zangu hazijajikita kwenye yale mambo unayopenda kuyasikia kila siku hio ndo sababu

Alafu kuna ile hali humkubali tu mtu ni human nature., huwezi kubaliwa na watu wote hata uwe malaika unayeishi duniani haiwezekani
 
Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active

Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea

Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
  • Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
  • Interest rate ya mikopo kuwa juu
  • Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja

View attachment 3371244
Rais wa milembe au tanzania
 
Niko kwangu kjjn

1. ninaisha kwenye nyumba niliyojenga kwa tofali za kuchoma nilizofyatua mwenyewe, fundi ujenzi nilimlipa kwa pesa ya mauzo ya mazao niliyolima mwenyewe
2. Mahitaji ya kila siku napata kwa kuuza mazao ya shambani kwangu na mifugo yangu
3. Watoto wanasoma shule za kjjni kwetu na za kata, baada ya hapo wanajiunga na vyuo
4. Nikipata faida naongeza mifugo na mashamba ndio akina yangu

Nisaidie mgombea urais, mimi hiyo account nifanyie nini usiwe dormant

😃
 
Kwanza
mfumo wa kuuza na kununua mawazo hautafanywa kienyeji kama ilivyo sahivi-nikimaanisha kutakuwa na wakala wa kununua kila aina ya mazao vijijini watakaopewa leseni na wanunuzi watakuwa wanalipiwa kupitia bank
Iwe ni mahindi
Iwe ni maharage
Iwe ni mihogo
Iwe chochote kile hakitafanyika kienyeji kama ilivyo sahivi

Haya mabadiliko hayatakuja kwa haraka bali ni mchakato wa mda mrefu ila yatafanikiwa
 
Kwanini bank na sio Mobile banking??ambapo Kila mtu anaweza kuweka na rahisi kupata access
Kwani hata sahivi watu wengi sana wanatumia mobile bank

Fahamu mobile bank hii ya sahivi bado kwa ubora huwezi ifananisha na bank ambao wana wigo mpana sana wa huduma

Katika mambo ntakayofanya ni kuufanyia mabadiliko makubwa sana huu mfumo wa mobile money transfer bado hakuko sufficient

Bado hatujafikia kwenye technologia ya mobile bank kupitia hizi telecommunications company
 
Back
Top Bottom