Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja
View attachment 3371244