Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

Utawezaje kuhakikisha watanzania wote hao wanakuwa na account active? Na umepanga kugombea kwa tiketi ya chama kipi?
 
Kwenye watu milioni 60

Ili kupata account Million 40

Hapo andaa Jeshi la kufungulisha kwa nguvu account hata watoto, walemavu, wazee sijui wasiosoma wote zoa hadi benk
 
Hakuna cha jeshi wala nini ni kuhakikisha unawekeza kwa wananchi
 
Nimewahisoma pahala kuwa ili kuwa na uchumi unaokua kwa kasi yenye uwiano Sawa ni kuhakikisha middle class ambapo wengi ni waajiriwa inakuwa inajiweza. Yaani hawa ndio wanunuzi wa bidhaa nyingi za Mazao na za viwandani.
Wewe Kama mtu mwenye maono juu ya uchumi wa Taifa hili. Hawa watu hasa wafanyakazi unawatazamaje tofauti na mtazamo wa waliopo madarakani?
 
Serikali inayowekeza kwa watu automatic middle class itaendelea kuwa na nguvu tatizo la serikali nyingi ni kuacha kuwekeza kwa wananchi wake

Njia za kutengeneza na kulinda middle class
  1. Mfano kwa Tanzania miradi mikubwa ya ujenzi wanapewa makampuni ya kigeni na kwenye ujenzi ni moja ya eneo lenye uwekezaji mkubwa sana nikimaanisha fedha nyingi sana zinatumika ila fedha nyingi inayolipwa kampuni ya kigeni inaenda nje ya nchi hilo ni tatizo kubwa sana. Imagine zile almost Trillion 15 za kujenga reli zingebaki hapa nikimaanisha zingefanywa na kampuni ya kitanzania inamaana zingebaki hapa nchini middle class ingeimarika sana lakin unfortunately
  2. Kuwekeza mwenye kwenye smelter na refining ambazo hizi zitavutia viwanda vya secondary na vitaajiri watu wengi ambao wengi wao watakuwa middle class kwa sahivi bidhaa nyingi Tanzania zinanunuliwa nje ya nchi kwa hiyo inakuwa ni ngumu sana kutengeneza middle class kwa sababu Multiplier effects inayotokana na kununua bidhaa nje ya nchi ni ndogo sana ni tofauti na Multiplier effects inayotokana na viwanda
 
Vipi kuwafanya wafanyakazi kuwa na purchasing power kwa kuwalipa vizuri ili katika manunuzi yao waweze kununua kwa wingi bidhaa za kutuka kwenye vile viwanda vidogo vidogo? Eneo hili ni Kama hujaligusa
 
Point ya muhimu ni kuwa na uchumi ambao upo productive
 
Mh. Rais Tutawezaje kupanga sera ya fedha kwa watu wasioonekana kwenye mfumo wa kifedha?
 
Back
Top Bottom