Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #41
Neno lako sio sheria hizo ni chuki zakoHata wewe hutoweza kuitoa nchi kwenye umaskini kwa hizo sera zako
Neno lako sio sheria hizo ni chuki zakoHata wewe hutoweza kuitoa nchi kwenye umaskini kwa hizo sera zako
Unataka kuwa rais na hujui kwamba maendeleo ni mchakato, hata wewe ukipewa nchi yale yote uliyoyaandika humu hutoyatekelezaSasa mbona ni miaka 60+ vitu vinavyoweza kutekelezwa tumeshindwa kama nchi
Soma nilichoandika kwa utulivuUwafungulie account na uwawekee na hela bila hivyo muda wote account zitakua dormant..
Mchakato wa kushindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi hawakai chini, wananchi wanajengewa vyoo na wazunguUnataka kuwa rais na hujui kwamba maendeleo ni mchakato, hata wewe ukipewa nchi yale yote uliyoyaandika humu hutoyatekeleza
nakuwaje na chuki na mtu ambae tumekutana mtandaoni tu, si ntakuwa kichaa sasaNeno lako sio sheria hizo ni chuki zako
Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Mheshimiwa rais, naomba uniwezeshe bando, ili niweze kuangalia hii video moyo unaniuma sana kushindwa kuiangalia....hadi najisikia kulia
Uchumi unatakiwa ufanye kazi kama ilivyosemaUnajua kwamba unamaanisha utaakikisha Branch za Bank zitajengwa kila Kata Tanzania ili watu million 40 waweze kuwa na account!! na Hizo Bank zitajenga na kutoa service kwa hao watu Million 40 kupitia Kodi za Hao watu million 40 maana wingi wawatu kuwa na ela bank inasabbisha kuongezeka kwa Kodi ya bidhaa?
Kama unaweza mpenda mtu bila sababu basi fahamu unaweza mchukia mtu bila sababu hiyo ni human naturenakuwaje na chuki na mtu ambae tumekutana mtandaoni tu, si ntakuwa kichaa sasa
Serikali haifanyi jambo moja au mawili, kumbuka kuna mambo mengine pia yanatakiwa yafanyike ndo maana huwa kuna awamu, ..mfano kuna miradi iliachwa na awamu ya tano imekuja kamilishwa na awamu ya sita,kwahy hata hilo la vyoo na madawati itafikia hatua litakwisha na kubaki historiaMchakato wa kushindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi hawakai chini, wananchi wanajengewa vyoo na wazungu
Basi hatamimi ntatumia mchakato kuitoa nchi kwenye umaskini uliotamalaki baada ya miaka 60 ya uhuru
Hadi sasa bado ni siri kubwa, rais hajasema atagombea kupitia chama gani....inawezekana pia akaanzisha chama kipya kwa maono aliyo nayo sijui kama atatumia vyama vilivyopo.Unaeza kuniambia huyu Raisi ni chama gani au tunaeza kugombania uraisi kama private Sectors?
Tatizo la watanzania mnaakili fupi hamna malengo ya mda mrefu sio kosa lakoUnaeza kuniambia huyu Raisi ni chama gani au tunaeza kugombania uraisi kama private Sectors?
Swala dogo la madawati tumeshindwa baada ya miaka 60Serikali haifanyi jambo moja au mawili, kumbuka kuna mambo mengine pia yanatakiwa yafanyike ndo maana huwa kuna awamu, ..mfano kuna miradi iliachwa na awamu ya tano imekuja kamilishwa na awamu ya sita,kwahy hata hilo la vyoo na madawati itafikia hatua litakwisha na kubaki historia
UMASKINI HAUONDOLEKI KWA KUWA NA ACC BANKUlichosema ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa formal sector
Ntahakikisha kunakuwa na wigo mpana wa formal sector na automatic informal sector zitaondoka
Swali unaloweza kuuliza ntaongezaje wigo wa formal sector jibu ni kuwekeza kwa watu direct kwenye maeneo matatu kwa haraka
Multiplier effects ya hayo maeneo matatu yataongeza wigo wa formal sector direct na indirect na taratibu kuondoa informal sector
- Michezo
- Kilimo cha umwagiliaji
- Smelter na refining
UNATAKA KUNIAMBIA 2030 HZO LITTLE IDEAS ULIZO NAZO ZITAKUWA HAZIJATEKELEZWA HATA NA HUYUU ALIEBAATISHA UONGOZI🤦🏾♂️Tatizo la watanzania mnaakili fupi hamna malengo ya mda mrefu sio kosa lako
Ndo maana nikakuambia bado uko mbali kifikraUMASKINI HAUONDOLEKI KWA KUWA NA ACC BANK
TOA KODI ZINAZO SUMBUA WAFANYA BIASHARA KAMA KODI YA KULIPA UNAPOEKEZA MTAJI WAKO ANGALI BIASHARA HAIJAFANYIKA ONDOA AGGREMENTS ZA (DTA) AMBAZO HAZISAIDIE WATANZANIA BALI KUNUFAISHI NCHI ZA ULAYA
BORESHA VITUO VYA AFYA
PANUA MASOKO YA HII NCHI NA MAENEO YOTE CCM WALIOJIRIDHISHA WAPENI VIBALI WATU BINAFSI KUMILIKI
HAPO ATLEAST UTAGUSA UMASKINI
Mimi sijamuongelea Rais aliyekoa madarakani mimi nimeongelea maoni yangu na maono niliyokuwa nayoUNATAKA KUNIAMBIA 2030 HZO LITTLE IDEAS ULIZO NAZO ZITAKUWA HAZIJATEKELEZWA HATA NA HUYUU ALIEBAATISHA UONGOZI🤦🏾♂️
sikia pigania Haki ya Uhuru wa Vyama vingi ujipe nafasi ya kupata chama ambacho labda ukija kugombania uraisi utapewa Au wewe Mwana kada wa CCMTatizo la watanzania mnaakili fupi hamna malengo ya mda mrefu sio kosa lako
Suala la madawati sio changamoto kubwa sana kihivyo kwa sasa japo halijaisha kwa asilimia 100 ,nashangaa unautaka urais lakini takwimu ndogondogo kama hivi huna,tukikupa nchi si ndo utalala kabisa, ..tafuta hoja nzito hizi za madawati na vyoo zimeshakuwa solved kwa sehemu kubwaSwala dogo la madawati tumeshindwa baada ya miaka 60
Ni mkakati gani wa kuondoa hii changamoto hamna sasa unasemaje tatizo litaondoka au labda litaondoka kimiujiza basi tusubirie miujiza ya kuondoa tatizo la wanafunzi kukaa chini