Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ulichosema ni kwa sababu ya kutokuwepo kwa formal sectorUtamshawishi vipi mtu awe na account bank wakati kipato chake ni hand to mouth ,ataweka nini huko kwenye account. ?
Hakuna helaMoja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siΓ² siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Siwez jisikia vibaya sababu nyuzi zangu hazijajikita kwenye yale mambo unayopenda kuyasikia kila siku hio ndo sababuNiwe mkweli BWANA DENIS SIJAWAHI KUKUELEWAGA HATA SIKU MOJA KWENYE THREAD ZAKO I'm real sorry kama utajiskia vibaya ila huko ndo ukweli wangu
Fedha zinatengenezewa njia au mifumoHakuna hela
Huo ni mtizamo wako na naamini una namna ya kuufanikishaNIkowa Rais nitahakikisha watu hawakanyagi tope, wanatembea HEWANI
Rais wa milembe au tanzaniaMoja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siΓ² siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Niko kwangu kjjnMoja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siΓ² siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Mheshimiwa rais, naomba uniwezeshe bando, ili niweze kuangalia hii video moyo unaniuma sana kushindwa kuiangalia....hadi najisikia kulia.Fedha zinatengenezewa njia au mifumo
KwanzaNiko kwangu kjjn
1. ninaisha kwenye nyumba niliyojenga kwa tofali za kuchoma nilizofyatua mwenyewe, fundi ujenzi nilimlipa kwa pesa ya mauzo ya mazao niliyolima mwenyewe
2. Mahitaji ya kila siku napata kwa kuuza mazao ya shambani kwangu na mifugo yangu
3. Watoto wanasoma shule za kjjni kwetu na za kata, baada ya hapo wanajiunga na vyuo
4. Nikipata faida naongeza mifugo na mashamba ndio akina yangu
Nisaidie mgombea urais, mimi hiyo account nifanyie nini usiwe dormant
π
Kwani hata sahivi watu wengi sana wanatumia mobile bankKwanini bank na sio Mobile banking??ambapo Kila mtu anaweza kuweka na rahisi kupata access
π π πMheshimiwa rais, naomba uniwezeshe bando, ili niweze kuangalia hii video moyo unaniuma sana kushindwa kuiangalia....hadi najisikia kulia.