Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

Kila siku wanabuni tozo mpya ili pesa wachukue...huko bank vulumai nyingi....watu wanakurupuka tu na kuongeza Kodi Hadi watu tunaogopa
 
Watu milo mitatu tu wanashindwa kumudu, hizo account million 40 watakuwa wanatunzia mkojo ama?.....
 
Hiyo kimahesabu tu haiwezekani tatizo lako ni kudhania wewe ndo uko sahihi kwenye kila jambo, ..halafu jiulize kwa nini mengine yote huko nyuma sikuwahi comment mbaka imekuja kwenye hili
Minaongelea mtazamo wangu alafu unasema nadhani niko sahii
Na unataka ujibiwe unavyotaka
 
Mental health is real,..watu wanadhani u-prezidaa unaokotwa jalalani.
Unaona sasa umetoka kwenye mada uneenda kwenye mambo mengine

Nikuulize ni kosa kwa mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Hao marais ambao hawajatoka jalalani mbona wameshindwa kuitoa nchi kwenye umaskini baada ya miaka 60+ ya uhuru
 
UMECHAGULIA KUWA MWNYEKIT WA CHAMA GANI?
 
Unaona sasa umetoka kwenye mada uneenda kwenye mambo mengine

Nikuulize ni kosa kwa mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Hao marais ambao hawajatoka jalalani mbona wameshindwa kuitoa nchi kwenye umaskini baada ya miaka 60+ ya uhuru
Hata wewe hutoweza kuitoa nchi kwenye umaskini kwa hizo sera zako
 
Uwafungulie account na uwawekee na hela bila hivyo muda wote account zitakua dormant..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…