Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

Unataka kuwa rais na hujui kwamba maendeleo ni mchakato, hata wewe ukipewa nchi yale yote uliyoyaandika humu hutoyatekeleza
Mchakato wa kushindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi hawakai chini, wananchi wanajengewa vyoo na wazungu

Basi hatamimi ntatumia mchakato kuitoa nchi kwenye umaskini uliotamalaki baada ya miaka 60 ya uhuru
 
Unajua kwamba unamaanisha utaakikisha Branch za Bank zitajengwa kila Kata Tanzania ili watu million 40 waweze kuwa na account!! na Hizo Bank zitajenga na kutoa service kwa hao watu Million 40 kupitia Kodi za Hao watu million 40 maana wingi wawatu kuwa na ela bank inasabbisha kuongezeka kwa Kodi ya bidhaa?
 
Unaeza kuniambia huyu Raisi ni chama gani au tunaeza kugombania uraisi kama private Sectors?
Mheshimiwa rais, naomba uniwezeshe bando, ili niweze kuangalia hii video moyo unaniuma sana kushindwa kuiangalia....hadi najisikia kulia
 
Uchumi unatakiwa ufanye kazi kama ilivyosema

Ila hapo mwishoni sio sahii watu wakiwa na account bank wengi kutaongeza wigo wa kodi na kupunguza tozo maradufu
 
Mchakato wa kushindwa kuhakikisha watoto wa shule za msingi hawakai chini, wananchi wanajengewa vyoo na wazungu

Basi hatamimi ntatumia mchakato kuitoa nchi kwenye umaskini uliotamalaki baada ya miaka 60 ya uhuru
Serikali haifanyi jambo moja au mawili, kumbuka kuna mambo mengine pia yanatakiwa yafanyike ndo maana huwa kuna awamu, ..mfano kuna miradi iliachwa na awamu ya tano imekuja kamilishwa na awamu ya sita,kwahy hata hilo la vyoo na madawati itafikia hatua litakwisha na kubaki historia
 
Swala dogo la madawati tumeshindwa baada ya miaka 60
Ni mkakati gani wa kuondoa hii changamoto hamna sasa unasemaje tatizo litaondoka au labda litaondoka kimiujiza basi tusubirie miujiza ya kuondoa tatizo la wanafunzi kukaa chini
 
UMASKINI HAUONDOLEKI KWA KUWA NA ACC BANK
TOA KODI ZINAZO SUMBUA WAFANYA BIASHARA KAMA KODI YA KULIPA UNAPOEKEZA MTAJI WAKO ANGALI BIASHARA HAIJAFANYIKA ONDOA AGGREMENTS ZA (DTA) AMBAZO HAZISAIDIE WATANZANIA BALI KUNUFAISHI NCHI ZA ULAYA
BORESHA VITUO VYA AFYA
PANUA MASOKO YA HII NCHI NA MAENEO YOTE CCM WALIOJIRIDHISHA WAPENI VIBALI WATU BINAFSI KUMILIKI
HAPO ATLEAST UTAGUSA UMASKINI
 
Ndo maana nikakuambia bado uko mbali kifikra
Jiulize kwanini nchi zote zilizoendelea wanahimiza matumizi ya bank kwa nguvu zote kumbuka hawa wametuzid kwa mbali sana kimaendeleo kwa hiyo ni wajinga

Kodi ni nyingi moja ya sababu ni watumajia wa bank ni wachache sana kwa hiyo hao wachache lazima wakamuliwe kisawasawa
 
Swala dogo la madawati tumeshindwa baada ya miaka 60
Ni mkakati gani wa kuondoa hii changamoto hamna sasa unasemaje tatizo litaondoka au labda litaondoka kimiujiza basi tusubirie miujiza ya kuondoa tatizo la wanafunzi kukaa chini
Suala la madawati sio changamoto kubwa sana kihivyo kwa sasa japo halijaisha kwa asilimia 100 ,nashangaa unautaka urais lakini takwimu ndogondogo kama hivi huna,tukikupa nchi si ndo utalala kabisa, ..tafuta hoja nzito hizi za madawati na vyoo zimeshakuwa solved kwa sehemu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…