Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #61
Hizi ni njia zako na sio zangusikia pigania Haki ya Uhuru wa Vyama vingi ujipe nafasi ya kupata chama ambacho labda ukija kugombania uraisi utapewa Au wewe Mwana kada wa CCM
Sio changamoto kubwa sababu watoto wa viongozi hawasomi huko kwenye hizo shuleSuala la madawati sio changamoto kubwa sana kihivyo kwa sasa japo halijaisha kwa asilimia 100 ,nashangaa unautaka urais lakini takwimu ndogondogo kama hivi huna,tukikupa nchi si ndo utalala kabisa, ..tafuta hoja nzito hizi za madawati na vyoo zimeshakuwa solved kwa sehemu kubwa
Kama nchi gani Wanaimiza Matumizi Ya Bank???Ndo maana nikakuambia bado uko mbali kifikra
Jiulize kwanini nchi zote zilizoendelea wanahimiza matumizi ya bank kwa nguvu zote kumbuka hawa wametuzid kwa mbali sana kimaendeleo kwa hiyo ni wajinga
wewe ni mwanakada wa ccmHizi ni njia zako na sio zangu
Nikuulize swali kwanini ikitokea crisis mabank ndo wa kwanza kupewa msaada hata 2008 kwenye ile crisis mabank ndo walipewa bailout kubwa ulishawahi jiuliza kwaniniKama nchi gani Wanaimiza Matumizi Ya Bank???
Nakupa mfano Raisi
Umeenda kukopa Bank Ujenge Jengo lenye vyumba vya biashara ukilijenga utalipa kodi na Deni juu ya hilo jengo ataekuja kukodisha atakulipa kodi utailipa bank
BANK NI SYSTEM YA KUTAJIRISHA MATAJIRI
NDIO MAANA HATA VODA WANAYO SAVING ACC AMBAYO MASKINI ANAEZA KUJITAJIRISHA
Endelea kurusha mawe gizaniwewe ni mwanakada wa ccm
kwa jinsi nchi ya tanzania inavyokwenda unadhani utabidi ujitike kwenye chama gani ili ndoto zako za uraisi zitimie? au pengine utaanzisha chama chako?Sio changamoto kubwa sababu watoto wa viongozi hawasomi huko kwenye hizo shule
Watu wakitumia bank income tax itaongezeka maradufuNa Vipi Kuhusu Ukasanyaji wa Kodi, Utaongeza vyanzo vipya vya mapato kama vipo vitaje au utatumia njia zipi kuhakikisha kodi zinakuwa na tija kwa maendeleo ya nchi ili ziwe moja ya kichocheo cha watu kufungua Akaunti za Benki
tunasemea hali ya mazingira ya upatikanaji wa huduma ya vyoo bora mashuleni na upungufu wa madawati shuleni kwa sasa imeboreshwa kwa sehemu kubwa na sio mtoto wa nani anasoma wapiSio changamoto kubwa sababu watoto wa viongozi hawasomi huko kwenye hizo shule
Bank inayo milikii Bank zote Duniani Inaitwa WBNikuulize swali kwanini ikitokea crisis mabank ndo wa kwanza kupewa msaada hata 2008 kwenye ile crisis mabank ndo walipewa bailout kubwa ulishawahi jiuliza kwanini
Kutakuwa na maana gani ya kupitishia hela bank wakati unazihitaji au ili mradi ipitie serikali yako ikate chake, huoni kama huo ni unyonyajiKwanza
mfumo wa kuuza na kununua mawazo hautafanywa kienyeji kama ilivyo sahivi-nikimaanisha kutakuwa na wakala wa kununua kila aina ya mazao vijijini watakaopewa leseni na wanunuzi watakuwa wanalipiwa kupitia bank
Iwe ni mahindi
Iwe ni maharage
Iwe ni mihogo
Iwe chochote kile hakitafanyika kienyeji kama ilivyo sahivi
Haya mabadiliko hayatakuja kwa haraka bali ni mchakato wa mda mrefu ila yatafanikiwa
Una kitu ila niongezee kitu hapo kama serikali inatakiwa iwe na sera ya kuhakikisha malipo yoyote tale ya wafanyakazi yoyote yaani ata fundi Michael yawe yanapitia bank basi serikali ingeweza kufanya mambo makubwa sana.Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Huyo wakala anachaguliwa na Shirika gani?Kwanza
mfumo wa kuuza na kununua mawazo hautafanywa kienyeji kama ilivyo sahivi-nikimaanisha kutakuwa na wakala wa kununua kila aina ya mazao vijijini watakaopewa leseni na wanunuzi watakuwa wanalipiwa kupitia bank
Iwe ni mahindi
Iwe ni maharage
Iwe ni mihogo
Iwe chochote kile hakitafanyika kienyeji kama ilivyo sahivi
Haya mabadiliko hayatakuja kwa haraka bali ni mchakato wa mda mrefu ila yatafanikiwa
Hao ambao wako kwenye chain ndo watakuwa wakalaHuyo wakala anachaguliwa na Shirika gani?
na katika kila Mkoa Watakuwa mawakala katika kila kata na kijiji kwa ulivyomaanisha? Sasa wewe jamaa unajua wanaofanya biashara za kuleta mazao sokoni wanapata kipato chao na ndio hao hao wanaofanya kazi ya ukulima!
mazao yanapakiwa shambani kwnye canter inaenda Sokoni unataka wakala wakufanya nini angali biashara ya mazao kutoka shamban hadi sokoni inafanyika na wala sio kienyeji ndivyo inavyopaswa Wahusika kunufaika unataka utoe mawakala Nyumbani kwenu mnufaike nyie wenywe??
Rais wangu andazi yuko hapa tena! Kazi ipo!Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active
Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata miezi minne bila kuitumia na masha yakaendelea
Baadhi ya madhara ya watu wachache kuwa na account bank ambazo zipo active
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha watanzania zaidi ya milioni 40 wanakuwa na account bank kama sehemu ya kuifanya Tanzania ya kisasa na ni mchakato wa mda mrefu na siò siku moja
- Kuwa na ugumu ku-implement monetary policy
- Interest rate ya mikopo kuwa juu
- Inakuwa ni ngumu sana kutoa elimu ya bank kwa mtu ambaye hana account bank
View attachment 3371244
Kukiwa na watu wengi wenye account bank ni obvious branch za bank zitaongezeka mbona iko waziVipi juu ya foleni bank maana huezi sema utafanya malipo kwenye simu usikatwe ela na kwakawaida malipo ya simu ela inayokatwa ni kubwa na haipingiki maana hio ndio Digital Life
Umenena vyema unajua watanzania wengi hadi watu ambao usio wategemea kwa sababu maisha yao yanaweza enda bila kupitia bank basi wanaona ni sawa kwao ila kwenye level ya nchi sio sawa kama unawatu wengi sana hawana account bankUna kitu ila niongezee kitu hapo kama serikali inatakiwa iwe na sera ya kuhakikisha malipo yoyote tale ya wafanyakazi yoyote yaani ata fundi Michael yawe yanapitia bank basi serikali ingeweza kufanya mambo makubwa sana.