Saoka
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 441
- 643
Habari zenu ndugu zangu ,
Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii kwangu ilishangaza mno watu kiasi kwamba kuanza kunishangaa mno.
Mimi sio mnywaji wa pombe kabisa ila nilikuwa kama kichaa baada ya kulewa kupitiliza hivyo imekuwa aibu na fedheha kiasi kwamba mpaka nilipopanga wamejua kuwa nililewa na kuanza a kuongea maneno ya hovyo hivyo ni aibu kweli kweli na pia kabisa naona heshima yangu imeshuka mno
Nifanyaje ndugu zangu niweze kuirejesha heshima niliyokuwa nayo kazini, kwenye jamii na hata kwa wale niliowakosea japo sio wote wamenambia kuwa niliwakosea najua kuna ambao niliwakosea lakni hawawezi kusema
Hapa nina mawazo mno yani najiona mkosaji kuliko wakosaji wengine mana sijawahi kulewa na kudhalilika kiasi kile
HAPA NIMEANDIKA NIKIWA NA MAWAZO MENGI MNO KICHWANI YANI KILA NINAYE MUONA NAHISI ANANIZUNGUMZIA MIMI HASA KWA HESHIMA NILIYOKUWA NAYO
NISAIDIENI MAWAZO YANANITESA
#NIMEAPA POMBE SITOGUSA MPAKA NAINGIA KABURINI