GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.

Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.

Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.

Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.

Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.

Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.

Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaatharika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.

Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza husia za Udini.

Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.

Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.

Nimesangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.

Wewe tulia tu, wenye chama tulishawaona mliman city

Wewe acha kupiga makelele
 
Sio

Sio lazima kila jambo ujibu, mengine unasoma na kukaa kimya.
 
Wewe kama nani bwana!?
 
Back
Top Bottom