Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Ndio.Ile ya kwanza uliijibu?
Ndio.Ile ya kwanza uliijibu?
Wenye chama ndio sisi wana CCMAione Lucas Mwashambwa na KUIELEWA!!
Kama Mwashambwa LucasAsante kwa uthubutu na munkari.
Lakini utaijibu wewe kama nani?
Ondoa ujinga wako hapa weweMgombea haramu huyo
Mavi yako kibwengo weweUmesamehewa makosa yako yote bure kabisa maana hujui ulitendalo
Lucas Mwamshamba who?Kama Mwashambwa Lucas
Wewe mshamba Nini, umechanganyikiwa wewe mwenyewe. Unaendaje kwenye Uchaguzi nchi imepasuka vipande vipande. Lissu yupo jela mnamfanyia humiliationNdugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.
Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.
Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.
Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.
Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu mbwiga ubongo wake umechanganyika na haja kubwa hana uwezo wa kujibu hoja.Nasikitika kukwambia ya kwamba wewe ni magonjwa wa uchawa, ulisema utamjibu Polepole ukaishia kuleta uharo!
Wenye chama ni wanachama wa CCM wenyewe kama nilivyo mimi .
Sawa jitokeze hatharani ujibu hizo nondo siyo ujifiche nyuma ya keyboard ndo ulete uchawa hapaNdugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.
Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.
Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.
Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.
Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe unaacha kuandika ujinga hapaOndoa ujinga wako hapa wewe
Wewe unajibu kama nani hapo UWT?Ndugu zangu Watanzania,

Mungu akusamehe sana na akupe uponyaji wa haraka.Mavi yako kibwengo wewe
Najibu kama Mwashambwa Lucas.Wewe unajibu kama nani hapo UWT?
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaUwe unaacha kuandika ujinga hapa
Umuhimu wangu ni mkubwa sana kwa Taifa hili. Maana mimi ni mzalendo wa kweli na Dhati.Stupid.
Unajibu kama nani? Kwa mamlaka gani uliyo nayo?
.Labda useme utaweka maoni yako, na siyo kujibu.
Unajipa umuhimu ambao huna.